Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kwanini tumedumaa sana na kujitengenezea mentality yakufanyiwa? Tunashindwa nini kuweka kwenye sera zetu kwamba ujenzi wa majengo Tanzania utafanywa na makampuni ya wazawa? Hata kama watataka kutafuta wageni kama engineer iwe ruksa ila tenda wapewe kampuni za ndani.
Kweli tunakwenda kukopa nje fedha au kutenga bajeti tunakabidhi kwa wageni? Wataalamu wetu lini watajitegemea? Kampuni nyingi za kichina tunazowapa tender hawaji na mtaji, mtaji ni negotiations tu na kupata kazi; wakipata kazi wanaweka wachina wawili hadi kumi kwenye project ya 50B na wanaobaki wanakuwa watanzania vibarua.
Tuweni basi na uzalendo! Hakuna taifa limewahi au litaendelea kwa kudharau wazawa.....hakuna Taifa litaendelea kwa kutetea boda boda eti wabebe mishikaki, hakuna Taifa litaendelea kwa kudumaza akili za watu wake.
Tuwape tender Watanzania fedha zibaki mzunguko wa ndani