Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Ukifuatilia urushaji matangazo unajiuliza vyombo vyetu vya habari vilipata muda kufuatilia mchakato mzima wa paredi na ratiba ya matukio au vimepeleka timu zao Leo? Je, hawa Watangazaji ambao wanashangazwa na idadi ya vikosi vilivyopo uwanjani walipata muda wakuhoji uandaaji? Hawa Watangazaji wanadhindwaje kufanya uchambuzi wa Tanzania ilipoyoka katika Siku kama ya Leo?
Hii incompetence inayoendelea uwanja wa Uhuru Inatokana na kudumaa Kwa watendaji wa TBC na vyombo vingine au Inatokana na uwezo mdogo wa wale waliokabidhiwa dhamana hii?
Leo miaka 60 ya Uhuru matangazo ya mpira wa miguu ya ligi kuu yanawezaje kuwa na picha clear kuliko matangazo ya sikukuu ya kitaifa? Kwanini wasingeazima camera na warusha matangazo ya mpira waje kusaidia?
Tujitafakari, tunahitaji creativity. Nashangaa kusikia wakina Masanja nao wanapata fursa kulieleza taifa story za mwanawane. Kwenye watu Milioni 60 mwanawane amefanya nn Hadi awepo uwanjani?