Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mzee haandiki wala kusimulia kuhusu historia ya Tanzania. Yeye yuko busy kufuatilia na kuandika kuhusu Wazee wake wa Kiislamu.Jambo jema sana mleta mada mohamed saidi kutukumbusha kuhusu historia ya Tanzania.
Waandishi wengi wa historia ya Tanzania wamekuwa wakiandika yale tu yaliyofurahisha utawala badala ya kujikita zaidi kwenye historia halisi ya Tanzania.
Na kutokana na kuwa na viongozi/wataalam wenye hulka ya kujipendekeza kwa uongozi,wamekuwa wakiandaa mitaala iliyokuwa ikipendelea/kuwatukuza viongozi hivyo kupoteza historia ya wachangiaji wengine katika maendeleo ya nchi yetu.
Babu...We mzee unawashwa sana,uko vizuri kwenye kutupa history ukiingiza siasa unaharibu.
Base on one thing ,history or politic.
Utaundiwa zengwe hapo ushangae
Jaribu kutofautisha historia na siasa uweze kuwa na uwanja mpana zaidi wa fikra.Mzee haandiki wala kusimulia kuhusu historia ya Tanzania. Yeye yuko busy kufuatilia na kuandika kuhusu Wazee wake wa Kiislamu.
Ninyi mnaosema anaandika historia ya Tanzania ndio mnamchanganya.
Yeye anaokoteza hapa na pale majina ya wazee wake wa kiislam ambao hata kwa namna moja au nyingine waliwahi kumpa Nyerere maji ya kunywa, inatosha.
Rudia kusoma uelewe. Kama huna fikra za kuelewa acha.Jaribu kutofautisha historia na siasa uweze kuwa na uwanja mpana zaidi wa fikra.
Mkaruka,Mzee haandiki wala kusimulia kuhusu historia ya Tanzania. Yeye yuko busy kufuatilia na kuandika kuhusu Wazee wake wa Kiislamu.
Ninyi mnaosema anaandika historia ya Tanzania ndio mnamchanganya.
Yeye anaokoteza hapa na pale majina ya wazee wake wa kiislam ambao hata kwa namna moja au nyingine waliwahi kumpa Nyerere maji ya kunywa, inatosha.
Msingida,Jaribu kutofautisha historia na siasa uweze kuwa na uwanja mpana zaidi wa fikra.
Mzee haandiki wala kusimulia kuhusu historia ya Tanzania. Yeye yuko busy kufuatilia na kuandika kuhusu Wazee wake wa Kiislamu.
Ninyi mnaosema anaandika historia ya Tanzania ndio mnamchanganya.
Yeye anaokoteza hapa na pale majina ya wazee wake wa kiislam ambao hata kwa namna moja au nyingine waliwahi kumpa Nyerere maji ya kunywa, inatosha.
Mkaruka,Rudia kusoma uelewe. Kama huna fikra za kuelewa acha.
Idugunde,Mzee ni mdini na mzandiki
Kusahihisha historia ya Tanganyika sio kuangalia upande mmoja wa shilingi. Kwani hili taifa ni waislamu pekee ndio walipigania uhuru wa Tanganyika? Mbona unataka kuaminisha umma kuwa ni akina Sykes na waislamu ndio walikuwa na mchango mkubwa kudai uhuru.Idugunde,
Wapo watu wameelimika sana kwa juhudi zangu za kusahihisha historia ya Tanganyika.
Huu si udini wala uzandiki.
Huwa unajisifu kwamba umesomesha historia ya kweli na kwamba sasa watu wameifahamu hiyo historia. Sasa mbona unarudia rudia yale yale? Mbona kwenye title ya hii thread, umeandika kuwa historia hiyo haifahamiki?Babu...
Niandikie kistaarabu mimi mzee nakimbilia miaka 70 si adabu kuniita, 'We,'' na kuniambia "nawashwa," hilo ni tusi kubwa.
Kunitukana mimi ni sawa na kumtukana baba au mama yako.
Kama kuwashwa basi nimewashwa kwa miaka mingi sana maana nimeandika vitabu 10 na makala wala sijui hesabu yake.
Search hapa JF utazikuta.
Sasa hivyo vitisho vya nini?
Nani nchi hii umesikia kaadhibiwa kwa kuandika historia?
Mbona haya ninayoandika hapa yamo kwenye maandishi yangu mengi sasa zaidi ya miaka 40?