Miaka 60 ya uhuru wananchi wa Ludewa wanasafirisha wagonjwa kwenye machela. CCM inatia aibu.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Wakazi wa kijiji cha Kitewele chenye jamii za wafugaji,wavuvi na wakulima wilayani Ludewa mkoani Njombe wanadai kulazimika kusafirisha wagonjwa kwa machela za miti na mhanzi zaidi ya km 32 kunusuru maisha ya ndugu zao kutokana na barabara ambayo vyombo vya moto haviwezi kupita. https://t.co/XkvcjgLtQB
 


Wasalaam,


Mkuu hizi siasa zenu nyepesi mnazifanyia humu kwanini?

Mbona hiyo barabara wanakopita hao kwenye picha yako ni nzuri na pana tena inamoramu,!!

Endelea kufikiria kizalendo zaidi,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Halafu tuna ambiwa tozo za miamala zina tumika kujenga vituo vya afya.
 
hapo labda useme walikosa hela ya kumsafirisha mgonjwa, hilo la barabara umeongeza chumvi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…