Miaka 60 ya ujinga, maradhi, umasikini na ufukara wa Watanzania chini ya CCM

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,147
Reaction score
20,080
Hii inaitwa 60 years of incompetence, inefficiency and failure of CCM.

Leo hii miaka 60 bado chama cha mapinduzi kinategemea wanyonge, watu masikini na wasiojielewa, wajinga. Miaka 60 chama kinajinasibu kua ni chama cha wanyonge, kinatetea wanyonge unajiuliza hao wanyonge walitengenezwa na chama au serikali ya chama gani?

Hivyo hata mwaka huu wakishinda bado wataendelea kutengeneza watu kua masikini na wajinga ili wawatumie kama hoja kwenye uchaguzi ujao wa 2025. CCM wanasema ni chama cha wanyonge, miaka 60 hao wanyonge wameshindwa kuwafanya wawe imara?

Umasikini, ujinga wa Watanzania ni kitu kinachotengenezwa na CCM kwa maksudi kabisa ili waweze kupata uhalali wa kugombea kila uchaguzi.

Tanzania haitakuja kupata maendeleo isipokua CCM iwe haiko madarakani, vinginevyo hizi ni ngonjera tu, CCM miaka yao 60 ya udhaifu hakuna siku watatukomboa watanzania kwenye lindi la umasikini na ufukara maana tukiwa mafukara ndio furaha yao.

Maendeleo Tanzania chini ya CCM ni ndoto za mchana.
 
Kazi ya siasa ni kutengeneza Sera, kazi ya kuleta maendeleo ni ya wananchi wenyewe. Hivyo kuilaumu CCM sio Sawa, coz hata wangekuwa Chadema wangefanya yale yale.
 
Sera zikiwa mbovu wananchi hata walimie meno hakuna maendeleo.

CCM hawajawahi kua na sera za kuhamasisha wananchi kuleta maendeleo.

Mfano, sera ya kulipa kodi hata kabla hujaanza biashara uliwahi kuiona wapi Duniani zaidi ya Tanzania chini ya CCM. Yaani kabla hujafungua duka uanze kuuza unatakiwa ulipe kodi kwanza.

Hakuna maendeleo yanapatikana kwa sera mbovu. Hicho ndio CCM wamekua wakifanya miaka yote toka uhuru.
 
Halafu hao hao CCM ndio wanaopiga kelele kwamba mabeberu wanapewa mikataba ya kutunyonya. Sasa sijui wabunge gani wengi wanaowapa hio mikataba hao mabeberu? Wabunge wa CCM au UPINZANI?

CCM wanatuona sisi raia ni mafala kupindukia, na hili ni kutokana na sisi wenyewe kuchukulia poa kila figisu wanazofanya.
 
Bila serious upinzani ccm itadumu madarakani milele...

Mwenyekiti akiwa Heche tutaitoa ccm madarakani

povu ruksa ila DJ anazorotesha upinzani
 
Hao hao wabunge wa ccm ndio baadae mmoja wapo anakua rais halafu anakuja kulia lia eti mabeberu, utafikiri hao mabeberu walikuja tu kutoka kusiko julikana na kuanza kuchukua mali zetu.

CCM hata tukiipa miaka 500 hakuna kitu kipya itafanya.

Leo hii miaka 60 ya uhuru bado tunaambiwa daraja ndio maendeleo, ndege ndio maendeleo, huku watu hawana maji ya kunywa safi na salama, huko vijijini watu wanakunywa maji pamoja na ng'ombe, hakuna huduma za afya za uhakika, binti akibeba mimba uhakika wa kupata huduma za afya za uhakika ni kizungumkuti, watoto bado wanasomea kwenye miti kama nyani, wanakaa chini kama mbuzi.

Tanzania chini ya ccm kupata maendeleo ni hadith za alinacha.
 
Bila serious upinzani ccm itadumu madarakani milele...

Mwenyekiti akiwa Heche tutaitoa ccm madarakani

povu ruksa ila DJ anazorotesha upinzani
.
Kuona ujinga unaofanywa na ccm sio lazima ungoje upinzani ndio wakuambie, labda kama huna akili sawa sawa.

Halafu hao upinzani imara ni kina nani?

Ni mawazo ya ajabu mtu kungoja upinzani ukwambie kinachoendelea Tanzania chini ya ccm kama wewe mwenyewe huwezi kuona unless uwe ni little learner.
 
tunajua ccm ni mbaya....
Ila upinzani kanjanja ndio kikwazo...

Sasa wewe unayeshabikia NGO ukitegemea itaitoa CCM namimi ninayeona ni bora CCM mbaya kuliko kina DJ tofauti ni kiduchu...

kwa akili ya msuba unaweza kujiona shujaa ukaangusha jengo kama Samson [emoji3]

Naomba nikili mapungufu.. mimi ni mjinga
Kuona ujinga unaofanywa na ccm sio lazima ungoje upinzani ndio wakuambie, labda kama huna akili sawa sawa.

Halafu hao upinzani imara ni kina nani?

Ni mawazo ya ajabu mtu kungoja upinzani ukwambie kinachoendelea Tanzania chini ya ccm kama wewe mwenyewe huwezi kuona unless uwe ni little learner.
 
Kazi ya siasa ni kutengeneza Sera, kazi ya kuleta maendeleo ni ya wananchi wenyewe. Hivyo kuilaumu CCM sio Sawa, coz hata wangekuwa Chadema wangefanya yale yale.
umeshakiri sera za ccm haziwezi kutokomeza umasikini.
 
Kazi ya siasa ni kutengeneza Sera, kazi ya kuleta maendeleo ni ya wananchi wenyewe. Hivyo kuilaumu CCM sio Sawa, coz hata wangekuwa Chadema wangefanya yale yale.
Swali gumu kujibiwa: Kama Tanzania ni Nchi Tajiri Yenye Raslimali Kila Mkoa Kwanini Wananchi wake ni Masikini na Wanyonge wa Kutupwa? Nini Chanzo cha Umasikini wao,Nani Kausababisha? Raslimali Zinawanifaisha Nani?
 
Kazi ya siasa ni kutengeneza Sera, kazi ya kuleta maendeleo ni ya wananchi wenyewe. Hivyo kuilaumu CCM sio Sawa, coz hata wangekuwa Chadema wangefanya yale yale.
Ccm haikwepi ni Mwendawazimu tu atakayesema CCM haihusiki Miaka 60 ya utawala haina mbinu mambo ni yale yale
 
Hii inaitwa 60 years of incompetence, inefficiency and failure of CCM.

Leo hii miaka 60 bado chama cha mapinduzi kinategemea wanyonge, watu masikini na wasiojielewa, wajinga. Miaka 60 chama kinajinasibu kua ni chama cha wanyonge, kinatetea wanyonge unajiuliza hao wanyonge walitengenezwa na chama au serikali ya chama gani?

Hivyo hata mwaka huu wakishinda bado wataendelea kutengeneza watu kua masikini na wajinga ili wawatumie kama hoja kwenye uchaguzi ujao wa 2025. CCM wanasema ni chama cha wanyonge, miaka 60 hao wanyonge wameshindwa kuwafanya wawe imara?

Umasikini, ujinga wa Watanzania ni kitu kinachotengenezwa na CCM kwa maksudi kabisa ili waweze kupata uhalali wa kugombea kila uchaguzi.

Tanzania haitakuja kupata maendeleo isipokua CCM iwe haiko madarakani, vinginevyo hizi ni ngonjera tu, CCM miaka yao 60 ya udhaifu hakuna siku watatukomboa watanzania kwenye lindi la umasikini na ufukara maana tukiwa mafukara ndio furaha yao.

Maendeleo Tanzania chini ya CCM ni ndoto za mchana.
Acha utapeli, ccm hiyo miaka 60 imeitawala inch gani?
Kama hujui historia kaakimyaaa.
Mwaka 1977 mpaka leo 2020. Unaona kunamiaka 60?
 
Hodiii hodiii. Tumekuja kuomba kura. Tumenunua ndege!!!
 
Acha utapeli, ccm hiyo miaka 60 imeitawala inch gani?
Kama hujui historia kaakimyaaa.
Mwaka 1977 mpaka leo 2020. Unaona kunamiaka 60?

Akili zako zinakutosha mwenyewe. Ni chama kilekile tangu Uhuru. Badiliko ni jina tu. Hujui hili?
 
Hii inaitwa 60 years of incompetence, inefficiency and failure of CCM.

Leo hii miaka 60 bado chama cha mapinduzi kinategemea wanyonge, watu masikini na wasiojielewa, wajinga. Miaka 60 chama kinajinasibu kua ni chama cha wanyonge, kinatetea wanyonge unajiuliza hao wanyonge walitengenezwa na chama au serikali ya chama gani?

Hivyo hata mwaka huu wakishinda bado wataendelea kutengeneza watu kua masikini na wajinga ili wawatumie kama hoja kwenye uchaguzi ujao wa 2025. CCM wanasema ni chama cha wanyonge, miaka 60 hao wanyonge wameshindwa kuwafanya wawe imara?

Umasikini, ujinga wa Watanzania ni kitu kinachotengenezwa na CCM kwa maksudi kabisa ili waweze kupata uhalali wa kugombea kila uchaguzi.

Tanzania haitakuja kupata maendeleo isipokua CCM iwe haiko madarakani, vinginevyo hizi ni ngonjera tu, CCM miaka yao 60 ya udhaifu hakuna siku watatukomboa watanzania kwenye lindi la umasikini na ufukara maana tukiwa mafukara ndio furaha yao.

Maendeleo Tanzania chini ya CCM ni ndoto za mchana.
Hakuna mwenye akili atakayeichagua ccm.
 
Kwenye ujinga, kadir muda unavyoenda ujinga ndio unaongezeka, utakuta kijana wa kitanzania kamaliza kidato cha Sita hajui kuandika barua na hapo Ana division I & II. Wanafunzi ktk level yote hawana maarifa, hawawez kuajirika sehemu yeyote duniani hata Kwenye makampuni binafs ya ndani.
 
Back
Top Bottom