The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,080
Sera zikiwa mbovu wananchi hata walimie meno hakuna maendeleo.Kazi ya siasa ni kutengeneza Sera, kazi ya kuleta maendeleo ni ya wananchi wenyewe. Hivyo kuilaumu CCM sio Sawa, coz hata wangekuwa Chadema wangefanya yale yale.
Hao hao wabunge wa ccm ndio baadae mmoja wapo anakua rais halafu anakuja kulia lia eti mabeberu, utafikiri hao mabeberu walikuja tu kutoka kusiko julikana na kuanza kuchukua mali zetu.Halafu hao hao CCM ndio wanaopiga kelele kwamba mabeberu wanapewa mikataba ya kutunyonya. Sasa sijui wabunge gani wengi wanaowapa hio mikataba hao mabeberu? Wabunge wa CCM au UPINZANI?
CCM wanatuona sisi raia ni mafala kupindukia, na hili ni kutokana na sisi wenyewe kuchukulia poa kila figisu wanazofanya.
Kuona ujinga unaofanywa na ccm sio lazima ungoje upinzani ndio wakuambie, labda kama huna akili sawa sawa.Bila serious upinzani ccm itadumu madarakani milele...
Mwenyekiti akiwa Heche tutaitoa ccm madarakani
povu ruksa ila DJ anazorotesha upinzani
.
Kuona ujinga unaofanywa na ccm sio lazima ungoje upinzani ndio wakuambie, labda kama huna akili sawa sawa.
Halafu hao upinzani imara ni kina nani?
Ni mawazo ya ajabu mtu kungoja upinzani ukwambie kinachoendelea Tanzania chini ya ccm kama wewe mwenyewe huwezi kuona unless uwe ni little learner.
umeshakiri sera za ccm haziwezi kutokomeza umasikini.Kazi ya siasa ni kutengeneza Sera, kazi ya kuleta maendeleo ni ya wananchi wenyewe. Hivyo kuilaumu CCM sio Sawa, coz hata wangekuwa Chadema wangefanya yale yale.
Swali gumu kujibiwa: Kama Tanzania ni Nchi Tajiri Yenye Raslimali Kila Mkoa Kwanini Wananchi wake ni Masikini na Wanyonge wa Kutupwa? Nini Chanzo cha Umasikini wao,Nani Kausababisha? Raslimali Zinawanifaisha Nani?Kazi ya siasa ni kutengeneza Sera, kazi ya kuleta maendeleo ni ya wananchi wenyewe. Hivyo kuilaumu CCM sio Sawa, coz hata wangekuwa Chadema wangefanya yale yale.
Ccm haikwepi ni Mwendawazimu tu atakayesema CCM haihusiki Miaka 60 ya utawala haina mbinu mambo ni yale yaleKazi ya siasa ni kutengeneza Sera, kazi ya kuleta maendeleo ni ya wananchi wenyewe. Hivyo kuilaumu CCM sio Sawa, coz hata wangekuwa Chadema wangefanya yale yale.
Acha utapeli, ccm hiyo miaka 60 imeitawala inch gani?Hii inaitwa 60 years of incompetence, inefficiency and failure of CCM.
Leo hii miaka 60 bado chama cha mapinduzi kinategemea wanyonge, watu masikini na wasiojielewa, wajinga. Miaka 60 chama kinajinasibu kua ni chama cha wanyonge, kinatetea wanyonge unajiuliza hao wanyonge walitengenezwa na chama au serikali ya chama gani?
Hivyo hata mwaka huu wakishinda bado wataendelea kutengeneza watu kua masikini na wajinga ili wawatumie kama hoja kwenye uchaguzi ujao wa 2025. CCM wanasema ni chama cha wanyonge, miaka 60 hao wanyonge wameshindwa kuwafanya wawe imara?
Umasikini, ujinga wa Watanzania ni kitu kinachotengenezwa na CCM kwa maksudi kabisa ili waweze kupata uhalali wa kugombea kila uchaguzi.
Tanzania haitakuja kupata maendeleo isipokua CCM iwe haiko madarakani, vinginevyo hizi ni ngonjera tu, CCM miaka yao 60 ya udhaifu hakuna siku watatukomboa watanzania kwenye lindi la umasikini na ufukara maana tukiwa mafukara ndio furaha yao.
Maendeleo Tanzania chini ya CCM ni ndoto za mchana.
Hii inaitwa 60 years of incompetence, inefficiency and failure of CCM.

Basi CCM wametengeneza Sera mbovu miaka yote 60.Kazi ya siasa ni kutengeneza Sera, kazi ya kuleta maendeleo ni ya wananchi wenyewe. Hivyo kuilaumu CCM sio Sawa, coz hata wangekuwa Chadema wangefanya yale yale.
Acha utapeli, ccm hiyo miaka 60 imeitawala inch gani?
Kama hujui historia kaakimyaaa.
Mwaka 1977 mpaka leo 2020. Unaona kunamiaka 60?
Hakuna mwenye akili atakayeichagua ccm.Hii inaitwa 60 years of incompetence, inefficiency and failure of CCM.