Miaka 60 ya ujinga, maradhi, umasikini na ufukara wa Watanzania chini ya CCM

Kama unategemea kuna mtu atakuwa anakuwekea hela kwenye akaunti yako ,

Sahau hilo.
 
60yrs of corruption, thefts and idiots
 
Miaka 60 hakuna maendeleo wakitengeneza factors of development kama improvement of infrastructures wanaona wamefanya kazi kubwa [emoji16]
 
Obusada abantu tuyagale sente , ntupashwa kumuima ekura bosco peoples power bosco must go.
 
Huu ndiyo mtaji wao mkubwa
 
Akili zako zinakutosha mwenyewe. Ni chama kilekile tangu Uhuru. Badiliko ni jina tu. Hujui hili?
Hao ndio mtaji wa ccm, wajinga ndio mtaji wa ccm na itaendelea kuwafanya wajinga maisha yao yote.

Hao ndio ambao wakibatizwa jina la kizungu basi anajiona amekua mzungu
 
Kazi ya siasa ni kutengeneza Sera, kazi ya kuleta maendeleo ni ya wananchi wenyewe. Hivyo kuilaumu CCM sio Sawa, coz hata wangekuwa Chadema wangefanya yale yale.

We kijana ni lofa sana. Nadhani unajaribu kuonesha kuwa sio mwanaCCM lakini utetezi wako hauna maana!! Ninyi si ndio huponda sera za vyama? Ninyi si ndio husifia pale jambo zuri linapofanyika??

Hakuna popote duniani ambapo mwananchi aliwahi kujifanyia jambo lolote analotaka. Ndio maana ya kuwa na sheria, kanuni na taratibu. Shughuli za watu huratibiwa na viongozi. Kwa hapa kwetu ni viongozi wa kisiasa!!
 
Kazi ya siasa ni kutengeneza Sera, kazi ya kuleta maendeleo ni ya wananchi wenyewe. Hivyo kuilaumu CCM sio Sawa, coz hata wangekuwa Chadema wangefanya yale yale.
Ni katiba nzuri na sera bora zinazotekelezeka pekee ndivyo huleta maendeleo na ustawi katika nchi na jamii.
Ccm ilishapoteza dira na mwelekeo kitambo ndio maana hawatekelezi sera zao wala hawataki katiba mpya ili wabaki na egemeo la ujinga, njaa na maradhi achilia mbali "unyonge!!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…