Miaka 61 ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

TRA Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
132
Reaction score
376
1000778353.jpg
 
Daah TRA kumbe mpo zile hoja zetu za kodi za magari mnakua kimya mnajitokeza kwenye 26 yrs ya Muungano..
 
Songwe ni hatari Mzee,meneja kakalia mafaili,Kila siku tunaambiwa Yuko kwenye vikao, wangeacha mfumo uleule wa zamani tuendelee kufyatuana na 'chochote'kuliko kuweka vitu vyote kwa mtu mmoja bila yeye kukubali maombi Yako naomba yakulipia haitaki ,kazi zinasimama kwa urasimu wa mtu mmoja
 
unakua na hela ya kulipia kodi ila TRA hawatoi makadirio kwa wakati sahihi ukija na Gari bado hao Interpol sijui wapo Dodoma kuacha gari Songwe,Tunduma kawaida tu na watu hata hawajali utapiga simu Daslm TRA kwa meneja wa Customer care kila dakika mpaka utachoka na ukiulizia sana nao wanakushangaa ingawaje ana msaada sana ila kazi ipo..
 
Mbombo ngafu
 
Back
Top Bottom