Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

Basi wako nyuma sana na ndio maana wanasema ukiona jamii kina mama wajinga angalia hata vijana wao hawawezi kuwa na akili kama wanayo ya darasani basi ni ya kukariri tu lakiji sio ya kutumia common sense. Angalia jamii nyingi zinazonyanyasa wanawake huwa hazina maendeleo na hata wakiendelea unakuta hawana classy yapo yapo tu na kuvaa mi suti ya red au purple. Maendeleo sio ya maana
[emoji28]
 
Kwanza ni marufuku kula pamoja na wanaume...wanaume wanaweza beba chungu Cha mboga na usifanye kitu![emoji1][emoji1][emoji1]! Mie pia nimepitia Sana unyanyasi huo kwa baba...dogo letu mpk leo wanamtreat Kama mfalme!
Nilifight Sana nikajua shortcut ni mm niwe na life zuri . .Kuna ukandamizaji Sana ..Tena ule wa kuumiza ..huoneshwi hata Hati za viwanja zimeandikwaje...yaan unaishi Kama unaelea hewani tu mradi kuche[emoji38][emoji38]! Yaan wanaume wa kisukuma ni balaa!...hawa dawa yao uwazidi tu wanakuwaga Kama mavifaranga yenye mdondo

[emoji23] inaonesha ulikuwa unakereka sana na hali hii lakini bora wewe umeelimika unaona ni kero, kwa upande wa ambao hawajaelimika kwao ndio maadili safi kabisa na hawaoni kero
 
Inakera balaa yaani...hata wenyeji wahuko kumbe nao hawapendi...! Sema ndo wanakausha..!

Vizuri kama mnayashuhudia na kuyakiri haya wenyeji wa huko basi na uwe muda muafaka wa hii jamii kubadilika kwenye hilo.
Me nawakubali sana wasukuma wanapenda sana kusifia asili yao tena hadharani lakini kitu nisichopenda ni zile statement zenye kupendelea upande fulani zaidi na mbaya zaidi hii kitu ipo hadi kwa wasomi.
 
Acha Mungu aitwe Mungu, Baba yangu mzazi aliondoka mara baada ya Mama kufariki, nilikuwa bado mdogo sana kipindi hicho, nilikuwa na miaka minne tu, Naanza primary mpaka namaliza secondary mpaka chuo, sikuwahi kumtia machoni, Ndugu hawapajui hata kwao maana alikuja Dar kutafuta maisha tu ila asili yake ni Mtwara, Mwaka 2018, nikasema ngoja nikamtafute kama nitabahatisha kumuona, Sikuwahi kufika Mtwara kabla, ila nilijipa ujasiri nikakata tiketi mpaka Masasi, Basi limeingia Masasi giza lishaingia, nikaenda kwa jamaa baada ya salamu nikamuulezea full story na kumtajia jina la baba, Jamaa akasema Masasi kubwa sana hii, huwezi kumpata mtu kwa kuulizia jina tu, nikamwambia Mzee XXX kwa kule DSM alikuwa ana ujuzi wa kutengeneza bidhaa fulani, jamaa akaniambia kwa Masasi anayotengeneza bidhaa, Baada ya yeye kuja, alinipita maana hakunijua muda ulishaenda na hakuna umeme kwake, Baada ya kuambiwa mwanao huyo, Mzee alifurahi sana na alinikumbuka, Namshukuru Mungu alitia wepesi kwa hilo.
vipi mkuu,
Mzee umeshamuwekea umeme? au umeenda kuwa mzigo tena kwake
 
Dah hakuna kitu kizur kama kuishi mbali na watu uliowazoea unafanya mambo yako kwa uhuru sana ila ni vzuri pia kuondoka ukiwa na baraka zao
 
Kuna watu kibao wamefarik na wamezikwa na serekali kwakua ndug zao hawafahamik, ndo maana ni vyema sana ukitaka kuelekea sehem fulan unatakiwa uage, mm nimeshashuhudia watu zaid ya wawil waliokufa katika utaftaji hawajulikan ndugu zake wala nn, mwsho wa siku anazikwa tu ,,, mtu kama huyo utaendelea kumuhesabia miaka arud lakin hutomuona
 
Kuna watu kibao wamefarik na wamezikwa na serekali kwakua ndug zao hawafahamik, ndo maana ni vyema sana ukitaka kuelekea sehem fulan unatakiwa uage, mm nimeshashuhudia watu zaid ya wawil waliokufa katika utaftaji hawajulikan ndugu zake wala nn, mwsho wa siku anazikwa tu ,,, mtu kama huyo utaendelea kumuhesabia miaka arud lakin hutomuona
Ni kweli ...lakini maisha gani ya hivi kutesa kukuwazia...Tz hapa hakuna mkoa ambao kutoka sehemu moja kwenda nyingine nauli inazidi laki moja ila maisha yanampiga mtu hata nauli tu hapati ila wengine huwa wanakausha sio Kweli kuwa mtu hana Maisha ya kurudi home
 
Unaweza kukuta kumbe nimeonana nae leo lkn kwa sababu story yako haijahusisha kapicha basi unaendelea kulalamika bila msaada....

Weka kapicha ka baba yako mdogo hapa
 
Unajua huwa najiulizaga sana wewe ni mtu wa namna gani..Yaani kila tukio lazma liwe lishawahi kukupata, kila Aina ya biashara umefanya, majanga yote yamekugusa na ushuhuda unatoa, kila ishu ikizungumzia unaijua kasoro siasa tu ndio sikuoni.

Aisee wengine mmebarikiwa sana
Huyo mtu mie ashanishindaga tabia aisee yan ye kila kitu yupo alafu full kujimwambafai au kujilegeza
 
Back
Top Bottom