Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

[emoji28]
 

[emoji23] inaonesha ulikuwa unakereka sana na hali hii lakini bora wewe umeelimika unaona ni kero, kwa upande wa ambao hawajaelimika kwao ndio maadili safi kabisa na hawaoni kero
 
Inakera balaa yaani...hata wenyeji wahuko kumbe nao hawapendi...! Sema ndo wanakausha..!

Vizuri kama mnayashuhudia na kuyakiri haya wenyeji wa huko basi na uwe muda muafaka wa hii jamii kubadilika kwenye hilo.
Me nawakubali sana wasukuma wanapenda sana kusifia asili yao tena hadharani lakini kitu nisichopenda ni zile statement zenye kupendelea upande fulani zaidi na mbaya zaidi hii kitu ipo hadi kwa wasomi.
 
vipi mkuu,
Mzee umeshamuwekea umeme? au umeenda kuwa mzigo tena kwake
 
Dah hakuna kitu kizur kama kuishi mbali na watu uliowazoea unafanya mambo yako kwa uhuru sana ila ni vzuri pia kuondoka ukiwa na baraka zao
 
Kuna watu kibao wamefarik na wamezikwa na serekali kwakua ndug zao hawafahamik, ndo maana ni vyema sana ukitaka kuelekea sehem fulan unatakiwa uage, mm nimeshashuhudia watu zaid ya wawil waliokufa katika utaftaji hawajulikan ndugu zake wala nn, mwsho wa siku anazikwa tu ,,, mtu kama huyo utaendelea kumuhesabia miaka arud lakin hutomuona
 
Ni kweli ...lakini maisha gani ya hivi kutesa kukuwazia...Tz hapa hakuna mkoa ambao kutoka sehemu moja kwenda nyingine nauli inazidi laki moja ila maisha yanampiga mtu hata nauli tu hapati ila wengine huwa wanakausha sio Kweli kuwa mtu hana Maisha ya kurudi home
 
Unaweza kukuta kumbe nimeonana nae leo lkn kwa sababu story yako haijahusisha kapicha basi unaendelea kulalamika bila msaada....

Weka kapicha ka baba yako mdogo hapa
 
Huyo mtu mie ashanishindaga tabia aisee yan ye kila kitu yupo alafu full kujimwambafai au kujilegeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…