Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

Aisee
 
Kweli kabisa
 
Duuh huzuni iliyoje !!!
 
Mamaeee hapo ndio mwanzo wakutoana roho
 
Kumbe sababu ndiyo hiyo! Kama bamia wengi tu hawali mie pia nina rafiki yangu bamia hata siku moja huwa ananishangaa sana, sasa mimi nipikie njugu utakula mwenyewe hata kuziona sitaki
 
[emoji3][emoji3] aingie hata hifadhi au pori tengefu walio vamia miaka hiyo wameachiwa[emoji23][emoji23]
 
Kuna Mjomba wangu mmoja alipoteaga miaka ya 1990 akarudi 2005.Sasa mwaka 2006 hadi leo alitokomea kusiko julikana.Ukizingatia Huyu Mjomba ni Bubu yaani ni bonge la mtihani kujua yuko wapi na tunasikia mara yupo Dar,Mara Kenya,Mara alienda South Africa,.Mpaka ukoo ulimwachia Mungu.
Yupo pia ndugu mwingine upande wa Bibi mzaa Mama yeye alikuwa ameoa na watoto 3 akaacha familia amerudi baada ya miaka 20 na haitaki tena familia yake.
 
Mimi ndiyo dogo lako sasa mfalme wa nyumba.Nishamuambia baba unamsema huku,ulijua sipo jamii forum.Tunakusubiri urudi tukunyooshe.
 
Vip uliweza kwenda? Utupe mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…