Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Wasalaam.
Inatafakarisha sana CCM imeongoza taifa la Tanganyika tangu uhuru lakini bado barabara ni mbovu, maji safi ni mtihani, wanafunzi bado wanakaa chini huko viongozi wa CCM wakitembelea ma v8 huku wakijilipa mishahara minono na kujitajirisha.
Tujiulize tu bila kujizima data, je ni lini CCM wataanza kujenga uchumi na kuwatoa Watanzania katika lindi la umasikini wa kutupa, ni lini watamaliza kujenga barabara na kuchimba visima? Ni lini wataacha kuiba rasilimali za taifa na kuwapa wageni?
Mwisho kuna msemo wanasema akili za kuambiwa changanya na zako, nana mwaka huu wa uchanguzi CCM imepiga hatua kwa kuwahonga wananchi baiskeli na pikipiki badala ya tshert na kofia kama chaguzi zilizopita.