PostGE2025 Miaka 64 ya Uhuru lakini mtu huna Uhuru wa kubeba mfuko bila kupekuliwa

PostGE2025 Miaka 64 ya Uhuru lakini mtu huna Uhuru wa kubeba mfuko bila kupekuliwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Kwa hiyo serikali itaendelea hadi lini na mpango wa kusimama barabarani, kamatakamata ni na kukagua wananchi. Hii ni dalili tosha wananchi tunadharauliwa sana.

Hivi wakuu ile definition ya Democracy is a "government of the people, by the people, for the people," ni wakati sasa syllabus zibadilishwe. Civics tumefundishwa vingine kitaa unakuja kukutana na pepa tofauti.

 
Sijui una umri gani mbona jambo la kawaida linapotekea jambo la hatari katika nchi hata huko kwa mabwana zenu Marekani na Ulaya jambo la kawaida kukagulia kukiwa na hali ya hatari.
 
Nusu saa nyingi mpaka naandika Uzi huu. Nimetoka kukaguliwa/kupekuliwa begi langu nilipokuwa nimetoka soko la samaki feri kujununulia kitoweo.

Ile njia ya ikulu nyuma mkabala na soko la kukaangia samaki. Tulikuwa watu wengi tuu waenda kwa miguu, wengi tuu Cha ajabu wakanisimamisha mm tuu.

Kwa kiufupi wakanisindikiza mpaka nilikoacha usafiri Ili waone vitambulisho. Wakapekua begi na gari kidogo then wakaniachia.

Ila niliwauliza kwa nini Mimi? Wakaniambia tuu Wana wajibu wa kunipekua hivyo hawajanioonea kunipekua.
 
Back
Top Bottom