Miaka 64 ya Uhuru: Watoto wa Kigoma (Ujiji) bado wanasomea chini, Miundombinu yadorora

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Hapa ni Kigoma – Ujiji (Mjini), kijijini vipi?

Shule ya Msingi Rusimbi, iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, inakabiliwa na changamoto kubwa ya upungufu wa madawati na uchakavu wa majengo na miundombinu, wanafunzi wengi wanalazimika kukaa chini wakati wa masomo.

Shule ya Msingi Rusimbi awali ilikuwa sehemu ya shule kongwe kigoma inaitwa, shule ya msingi Kipampa. Baada ya kugawanywa ikazaliwa kwa shule ya msingi Rusimbi, imetelekezwa, na kuachwa katika hali ya uchakavu. Licha ya hali hiyo mbaya ya miundombinu,

Miaka 64 baada ya kupata uhuru kutoka kwa mkoloni mweupe, watoto wanasoma wakiwa kwenye zizi la ng’ombe chini ya mkoloni mweusi? Mbogamboga hii inakubalika kweli? Wananchi wa Kigoma Ujiji hawalipi kodi? Hawastahili miundombinu bora ya elimu?

Wakute sasa wafuasi wa mbogamboga wakimwaga sifa na pongezi kwa Serikali yao kuboresha miundombinu ya elimu. Huwezi kufikiri hata kwa sekunde kwamba zipo shule katika nchi yetu ambazo zinafanana na mazizi ya ng’ombe. Mfano mazingira hayo pichani.

Yule mbunge wao wa mfukoni yupo bizeee kupikia wapambe wake pilau. Waziri Mkuu wao anapambana na wanaharakati. Adui yake ni wanaharakati. Hataki kujua hata kama kuna kero za wananchi ambazo zinahitaji utatuzi wa moja kwa moja wa Serikali.
1766117924339.png

1766117955060.png

1766117982520.png

1766118012012.png

1766118047640.png

1766118076502.png

1766118098123.png

1766118118618.png
 
TEC acheni uchochezi, watoto wanasoemea chini tangu enzi za Nyerere, mnamchukia kwa sababu ni muislamu- Masheikh ubwabwa 2025.
 
Kwa hiyo TEC wamehusikaje hapa?
Ndio wanakusanya kodi?
 
Inasikitisha sana afu unakuta mtu anakwambia yule bibi anaupiga mwingi
Anaupiga mwingi kwa kuteka watu.
Anaupiga mwingi kwa kuiba rasilimali za Tanganyika.
Anaupiga mwingi kwa kugawa vyeo kwa wanafamilia wake.
Anaupiga mwingi kwa kukumbatia ufisadi.
 
Hapa ni Kigoma – Ujiji (Mjini), kijijini vipi?

Shule ya Msingi Rusimbi, iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, inakabiliwa na changamoto kubwa ya upungufu wa madawati na uchakavu wa majengo na miundombinu, wanafunzi wengi wanalazimika kukaa chini wakati wa masomo.

Shule ya Msingi Rusimbi awali ilikuwa sehemu ya shule kongwe kigoma inaitwa, shule ya msingi Kipampa. Baada ya kugawanywa ikazaliwa kwa shule ya msingi Rusimbi, imetelekezwa, na kuachwa katika hali ya uchakavu. Licha ya hali hiyo mbaya ya miundombinu,

Miaka 64 baada ya kupata uhuru kutoka kwa mkoloni mweupe, watoto wanasoma wakiwa kwenye zizi la ng’ombe chini ya mkoloni mweusi? Mbogamboga hii inakubalika kweli? Wananchi wa Kigoma Ujiji hawalipi kodi? Hawastahili miundombinu bora ya elimu?

Wakute sasa wafuasi wa mbogamboga wakimwaga sifa na pongezi kwa Serikali yao kuboresha miundombinu ya elimu. Huwezi kufikiri hata kwa sekunde kwamba zipo shule katika nchi yetu ambazo zinafanana na mazizi ya ng’ombe. Mfano mazingira hayo pichani.

Yule mbunge wao wa mfukoni yupo bizeee kupikia wapambe wake pilau. Waziri Mkuu wao anapambana na wanaharakati. Adui yake ni wanaharakati. Hataki kujua hata kama kuna kero za wananchi ambazo zinahitaji utatuzi wa moja kwa moja wa Serikali.
CCM OYEEEEEEE😡😡😡😡👹👹👹
 
Back
Top Bottom