Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
ha ha ha mkuu umejiandaaje kwa kufa?Nitakua nmekufa
Ndo nakuja nikijiandaa yaniha ha ha mkuu umejiandaaje kwa kufa?
Ndo maana tunashauriwa tuishi kwa kujali utu,sababu wote tunapita.Ndo nakuja nikijiandaa yani
ha ha ha kwa nini mkuu?Nasikitika Sababu Uwezo Wangu Wa Kula Utakuwa Umepungua!
Kwa nini mkuu?Bora we na ndoto zako ambazo unajua kabisa azitatimia kamwe
Sawa mkuuKuna wakati mwingine Jf inakuwa na mambo ya kuhuzunisha, kufurahisha, kuchekesha na hata kusikitusha sana.
Ebu ngoja kwa hapa niwe mpenzi msomaji na labda mwishoni kabisa nitaelewa concept ya mleta mada.
Pole Sana mkuu,Nitakua nmekufa
Haha uhakika huo sinao kwa kweliPole Sana mkuu,
Mimi Kuna ka uwezekano nikawepo
Tungekua tunakufa kwa umri let's say miaka 100 Basi ningesema kwa uhakika kabisa NITAKUWEPO
Miaka 70 ijayo nitawaalika marafiki zangu wote wa jf tuweze kusherehekea kwa kula pamoja na kunywa pamoja.Je wewe miaka 70 ijayo utafanya nini?
Naam uko sahihi kabisa ila kuna baadhi wanajikuta ni superiorNdo maana tunashauriwa tuishi kwa kujali utu,sababu wote tunapita.
Kweli mkuu,lakini kwa nini tunaishi kwa jeuriSio kwamba nakufuru ila najua fika miaka 95 sitofika
ha ha ha kama utakuwepo utashuhudiaacha uongo
utakuwa umesharudisha namba
hata ingekuwa tunaishi miaka 200 hiyo sio sababu ya kugeuza nyoyo za baadhi yetu. Wee fikiria mtu anakuwa na husda na haijui kesho yake.Kweli mkuu,lakini kwa nini tunaishi kwa jeuri