Miaka 70 ijayo nitawaalika marafiki zangu wote wa JF tuweze kusherehekea kwa kula pamoja na kunywa pamoja

Miaka 70 ijayo nitawaalika marafiki zangu wote wa JF tuweze kusherehekea kwa kula pamoja na kunywa pamoja

kipindi hiko mshana ashakufa na tunguri zake zimeoza

kipindi hiko zero iq kapanda kidogo na kuwa na one iq

kioindi kicho gudume anaitwa gubabu

kipindi hiko joanaja ni kibibi

kipindi hiko tunasherehekea miaka kadhaa baada ya kifo cha kasie

kipindi hiko naitwa mshumaa wa chuma
ahhahahahahahah
 
Unamaanisha kipindi hiko wote wana jf waliopo sasa watakuwa marehemu mkuu?
 
Nitakua nishakufa kitambo sana lakini sio mbaya kuacha alama.....

Ewe mjukuu utakayeusoma huu uzi, Bibi Culture anakuambia jipende kwanza na kila siku amini kile kilicho ndani yako.

Love u.
Mkuu naona umeacha maneno ya urithi
 
Back
Top Bottom