INTROVERT MAN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 993
- 1,343
ha ha ha umejiandaaje kwa hilo mkuu?70yrs to come I'll be gone and probably forgotten. Inauma ila ndio ukweli...
zaidi ya 100 mkuuMleta mada utakuwa na umri gani wakati huo?
Unamaanisha kipindi hiko wote wana jf waliopo sasa watakuwa marehemu mkuu?kipindi hiko mshana ashakufa na tunguri zake zimeoza
kipindi hiko zero iq kapanda kidogo na kuwa na one iq
kioindi kicho gudume anaitwa gubabu
kipindi hiko joanaja ni kibibi
kipindi hiko tunasherehekea miaka kadhaa baada ya kifo cha kasie
kipindi hiko naitwa mshumaa wa chuma
ahhahahahahahah
Mkuu naona umeacha maneno ya urithiNitakua nishakufa kitambo sana lakini sio mbaya kuacha alama.....
Ewe mjukuu utakayeusoma huu uzi, Bibi Culture anakuambia jipende kwanza na kila siku amini kile kilicho ndani yako.
Love u.
hapana wngne ndio tutakuwa vikongwe maana tupo kiserengeti nowUnamaanisha kipindi hiko wote wana jf waliopo sasa watakuwa marehemu mkuu?
Usihofu mkuu,tuombe uzima kama tutakuwepoNa mm hio kadi isinipite ntakuja na pacha zangu na toto langu la nguvu
sahivi una miaka 10 au?Miaka 70 ijayo nitawaalika marafiki zangu wote wa jf tuweze kusherehekea kwa kula pamoja na kunywa pamoja.Je wewe miaka 70 ijayo utafanya nini?
ha ha ha unamaanisha miaka ya kuishi ni mingapi?sahivi una miaka 10 au?
Utakuwa umeenda wapi?Sitakuwepo
Utakuwa umeenda wapi?
ha ha ha ukifika salama uwasalimie hukoMakazi ya milele
Utakuwa umehamia wapi mkuu?Sitakuwepo