Miaka 70 ijayo nitawaalika marafiki zangu wote wa JF tuweze kusherehekea kwa kula pamoja na kunywa pamoja

Nawasalimu sana nyie vitukuu vyangu mnaosoma huu uzi. Kipindi huu uzi unaandikwa chama kilichoitwa CHADEMA ilkua inapitia wakati mgumu sana. Alkuwepo mtu mmoja ambae alkua hapendi hicho chama, na maisha kipindi hicho yalkua magumu sana. Tunamshkuru Mungu saizi mnaishi vzr na maendeleo makubwa sana. Naomba hii post muisambaze ili kunienzi. Nami mniombee heri hapo mlipo.
 
Chakufanya kipo.
Mtazamo wangu kwa sasa naona mtu ambacho unaweza fanya ni kupambana kumtafuta Mungu kwa nguvu zote ili kuwa na hope ya umilele unao tukabili baada ya haya maisha cos tunao amina katika Yesu, mbele yetu kuna mbingu na jehamu so maamuzi nikuchagua sasa, katika biblia muhubili 12 ina sema mkumbuke muumba wako siku za ujana wako kabla hujasema sina furaha katika hili.
Kikubwa nikukaa mbali na uwovu na kuishi maisha ya kumpendeza Mungu
Pia unaweza acha kushabikia mambo machafu yanoendelea hapa JF kutoka kwa kina zero IQ na wengineo lengo tu nikuiponya future yetu
Thread hii imenipa uzuni sana aise!
Hakipo cha kufanya!
 

Kujiweka mbali na uovu ndio tiketi ya kuishi duniani milele e?

Huo uchafu wa Zero IQ kwa upande wangu sijawahi kuuona so ni ngumu mimi kuwa miongoni mwa hao mashabiki wake
 
Kuna yule mhuni USA, katengeneza
Muvi itakayooneshwa baada ya miaka 125.
 
Kujiweka mbali na uovu ndio tiketi ya kuishi duniani milele e?

Huo uchafu wa Zero IQ kwa upande wangu sijawahi kuuona so ni ngumu mimi kuwa miongoni mwa hao mashabiki wake
Umilele nao zungumza ni after death, ilikupata hope kunaulazima wakumatafuta Mungu
uchafu ninaosema nimaneno anayoandika ziro IQ yanaharibu vijana, maneno yake sio yakujenga bali ya kuharibu, ukitaka kuahakikisha nichozungumza pia thread ambazo watu wanaomba ushauri wa kuacha kupiga punyeto na kuangalia porn wadau wengi wanashauri watu waache kusoma thread za zero IQ, maana yake wakisoma wanashidwa kuacha iyo kitu, so zinawaaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…