uchafu ninaosema nimaneno anayoandika ziro IQ yanaharibu vijana, maneno yake sio yakujenga bali ya kuharibu, ukitaka kuahakikisha nichozungumza pia thread ambazo watu wanaomba ushauri wa kuacha kupiga punyeto na kuangalia porn wadau wengi wanashauri watu waache kusoma thread za zero IQ, maana yake wakisoma wanashidwa kuacha iyo kitu, so zinawaaribu
Umeongea kinyonge Mkuu hadi nimeumia rohoni, ila mwisho wa yote kila mtu anatafuta mwisho mwema so dawa nikubadilika tu, kunamwingine anatamani kuacha ila anajikuta hawezui kuacha kile kibaya anachokifanya ila dawa ipo hapa mithali 28:13 na nukuu afichae dhambi zake hatafanikiwa, bali azungamae na kuziacha atapata rehema so dawa ipo kwenye kuungama dhambi na kuacha hapo kabisa ndo Mungu anashusha rehema kwa mtu, ila kuungama tu bila kuacha Mungu hawezi kukusamehe kosa lako so Mungu atusaidie wana JF ili tuwe na mwisho mwema