Miaka 8 ya ndondo cup, ni vipaji gani vimezalishwa ndani na nje ya nchi

Kajeba

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2020
Posts
1,057
Reaction score
2,364
wakuu hii michuano ya ndondo cup ndani ya Dar imekamilisha miaka nane sasa tangu kuanzishwa kwake 2014

Je, ni vipaji gani vimeibuliwa na mashidano hayo?
 
Ame yule beki wa simba pia katokea ndondo cup
 
Kuna vijana wanacheza ligi kuu kutokea ndondo cup.. mmojawapo ni iddi nado
 
Ndondo cup haina mafanikio makubwa kwasababu kuna vijeba wengi wanacheza badala ya vijana
 
Watu wanapiga pesa kwa kivuli cha kuibua vipaji we unasema ni platform tu
Kila timu kushiriki tu ni laki 3!! Na zilikuwa timu 50!!Si unajua tena clouds media wazee wa fulsa!!eti wana vaa jezi za umbro, bado kiingilio na mshindi atazawadiwa milioni 20!!fanya mahesabu hapo.
 
Vipaji gani vitatokea wakati ndio hawa hawa wanaocheza ligi kuu, na madaraja mengine wanaenda kujichanganya umo?
 
wakuu hii michuano ya ndondo cup ndani ya dar imekamilisha miaka nane sasa tangu kuanzishwa kwake 2014

Je ni vipaji gani vimeibuliwa na mashidano hayo
Ukiangalia kwa asilia failure ni kubwa kuliko mafanikio
 
Kuna vijana wanacheza ligi kuu kutokea ndondo cup.. mmojawapo ni iddi nado
kelele za mafanikio ya ndondo ni kubwa mno ilhali hatuyaoni
Idd Nado pekee ndio star wa ndondo iliyodumu miaka 8

hapa kuna shida
 
Kila timu kushiriki tu ni laki 3!! Na zilikuwa timu 50!!Si unajua tena clouds media wazee wa fulsa!!eti wana vaa jezi za umbro, bado kiingilio na mshindi atazawadiwa milioni 20!!fanya mahesabu hapo.
Yani inauma kinoma nikiangalia maisha ya watu wanao cheza izo ndondo cup afu na pesa wanazo piga hao kina shaff inauma sana
 
Kila timu kushiriki tu ni laki 3!! Na zilikuwa timu 50!!Si unajua tena clouds media wazee wa fulsa!!eti wana vaa jezi za umbro, bado kiingilio na mshindi atazawadiwa milioni 20!!fanya mahesabu hapo.
kuna ubaya gani hapo dingi au ni wivu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…