white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Hakuna ubaya wowote kwani watu wanafurahi na wenyewe wanatumia fulsa hiyo, kulinganisha na mchango wake kwenye mpira wetu.kuna ubaya gani hapo dingi au ni wivu tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ubaya wowote kwani watu wanafurahi na wenyewe wanatumia fulsa hiyo, kulinganisha na mchango wake kwenye mpira wetu.kuna ubaya gani hapo dingi au ni wivu tuu
ndondo cup ni chaka la shafii dauda akishirikiana na mwajiri wake clouds media kupiga fedha za wadhamini. haikuanzishwa kwa minajili ya kuibua vipaji.wakuu hii michuano ya ndondo cup ndani ya Dar imekamilisha miaka nane sasa tangu kuanzishwa kwake 2014
Je, ni vipaji gani vimeibuliwa na mashidano hayo?