Vipaji vipo vingi tu shida ni kwa klabu zetu za ligi kuu na daraja la kwanza kutotumia fursa ya kutazama mashindano na kuchukua wachezaji.Issue kubwa hatuna mfumo wa Scouting
Mi nafikiri wasijikite sana kwenye kuibua vipaji mambo mengine yanafaa yabaki kuwa burudani tu basi! Mnaenda ground mbungi inapigwa watu wanaenjoy life inasonga akitokea mmoja kashine kaenda mbele basi ni time yake!