Kiprotocali Philip alikuwa safi kabisa, ila kea kuchepuka, inasemekana malika alivumilia sana ili kulinda hadhi ya ufalme, akiamini kuvunja doa ingekuwa doa kubwa. Philip alikuwa na side chicks wanawake wanne muda tofauti katika maisha yao. Lakini malika alivumilia kwani ilikuwa chaguo lake, tena wazazi hawakupenda mtu wa kuja amuoe binti yao ila Elizabeth aling'ang'ana ,wazazi wakakubali yaishe, ndio maana alivumilia. Lakini kiongozi kweli jamaa hakujimwambafai hata siku moja. Funzo kwa vijana leo, ndoa ina mabonde na milima, hakuna binadamu mkamilfu, mkubwa kuvumiliana na kusameheana. Sio unadhiwa na mwenzio leo kesho unawaza kuvunja ndoa. Utafunga ndoa na kuvunja ngapi?