Miaka 82 ya penzi la Malkia Elizabeth II na Mwanamfalme Philip

Swali langu mkuu ni kuwa hivi inawezekana na mzaliwa wa kwanza akiwa mwanamke akapewa Cheo cha ukuu
Mtoto wa kwanza wa Charles angekuwa mwanamke, huyo ndiye angemrithi Charles.

Kwa sababu huwa waangazia mtoto wa kwanza na watoto wake.

Charles ni mrithi wa kwanza (The first heir to the throne) na William mrithi wa pili au (second heir to the throne).

Hivyo watoto wa William ndo watakaomrithi baba yapo yaani akianza George, kisha Charlotte (atakuwa malkia) na wa mwisho Prince Louise.

Ndo maana Harry ambae ni mrithi wa sita kwenye hawezi kuwa mfalme labda kama William asingekuwa na watoto.
 
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa ni kwamba huyu mama aliwahi kuchumbiwa na bwana David Williamson mmiliki na mwanzilishi wa mgodi wa Mwadui mwanzani mwa miaka ya 50, mama huyu huyu ndiye aliyefungua jengo la kuchambulia Almasi pale Mwadui na ndiye alizindua kanisa la Anglican pale pale Mwadui; uchumba haukwenda mbali sana cause washauri wa familia ya Malikia walimkataa Dr. David Williamson kwamba anatokea familia masikini na nadhani ndio ilipelekea kifo chake huyu mwamba! Narudia, Nimesema, "kama kumbukumbu zangu zipo sahihi"
 
Ilikua iwe hivyo hasa baada ya kifo cha Diana mama yake William, ambae alipendwa sana na raia kuliko alivyopendwa na familia ya Kifalme. Lakini mtoto hakutaka kuumiza hisia za baba yake ambae ameusubiri Ufalme kwa muda mrefu.
 
Sidhani kama uko sahihi.

Elizabeth alianza kumtamani kijana Phillip akiwa bado mdogo sana kama miaka 13 na kijana akiwa na miaka 18 na walikutana kwenye moja ya harusi za kifalme.

Baadae baada ya miaka mitano yaani mwaka 1939 wakaanza mahusiano.

Baada ya vita wakawa wanakutana jamaa akiwa chuo cha mafunzo ya kijeshi.

Walichumbiana rasmi mapema mwaka 1947na wakaoana mwishoni mwa mwaka huohuo.

Hivyo utaona bwana David Williamson kwenye hiyo miaka ya 50 alikwishachelewa.
 
Sikukatalii mkuu, but dig it out; hayo nilioandika pale Mwadui kuna ushahidi wake, hizo sehemu nilizo zisema zina hadi mabango kabisa. Dig it brother. Hizi familia za kifalme zina mambo mengi sana.
Baada ya hiyo kitu ya bwana David Williamson kuto ku mature, jamaa alianza tabia za ulevi sana, anakunywa pombe kali kali bila kula chakula aliendelea hivyo kwa miaka kadhaa hadi mwaka 1957 akafariki dunia na mali zake alirithi dada yake aliyekua anaishi nchini Canada (remember huyo jamaa nae alikuaga Canadian as well) na huyo dada akaamua kuuza mgodi kwa jamaa wa De beers ya bwana Opernhama
 
Hakuna lisilowezekana ila jamaa alimuoa Elizabeth mwaka 1947 na mwaka ulofuata akazaliwa Charles yaani 1948.

Baadae sana yaani 1960 akazaliwa Andrew na Edward akafuata mwaka 1964.

Hivyo palikuwa na Gap kubwa kati ya 1949 na 1960.

Kwahiyo bwana David huenda alifanikiwa kupenyeza rupia popote palipokuwa na udhia au?

Au hiyo ndo yaweza kuwa siri ya utajiri mkubwa wa bibi yetu huyu?

Lolote laweza kutokea hapa duniani.
 
Asante mkuu
 
Ushaambiwa ni second in the line of succession

The first ni babake
 
Harry ili aje kuwa mfalme it means babake na familia ya kakake yote ipotea bloodline inahamia kwake na kuenda kwa archie
 
Shida mwanamke akichepuka wakati maumbile yake ,yamebuniwa kupokea dudu ya aina moja pindi akiwa kwenye ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…