Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Wahaya wakiziba(warangira) ni tofauti na wahaya wengine, wana maono uthubutu wanajiamini sana wana akili za maisha na darasani, ukisome historia ya huyu jamaa ndo chazo cha nyerere kusema hamna mwenye kiti wa chama (raisi mtarajiwa) kutoka Uhayani chanzo ni huyu mwamba, mwalimu Nyerere hakupenda wa haya katika maisha yake ya uraisi.Leo katika Kijiji cha Katendagulo, Kata ya Bugandika, Tarafa ya Kiziba, Wilaya ya Missenye, Mkoa wa Kagera kulikuwa na Sherehe ya Kuzaliwa ya Mzee Leopold Rwizandekwe II...
Kweli mkuu kuhusu AKILI na kuwa visionary tupo hivyoWahaya wakiziba(warangira) ni tofauti na wahaya wengine, wana maono uthubutu wanajiamini sana wana akili ya maisha na darasani, ukisome historia ya huyu jamaa ndo chazo cha nyerere kusoma hamna mwenye kiti wa chama (raisi mtarajiwa) kutoka Uhayani chanzo ni huyu mwamba
Mkuu karibu tena kwetu. Mandhari nzuri sana! Baada ya kutoka kwenye Sherehe ya Omutwale Rwizandekwe II tupo sehemu hapa upepo mzuri tunashushia "Kalinya"! Ahahahahaha!!!Kiziba hatari sana kwenye harakati zangu nishapanda bodaboda Amushenye tukapita vijiji vya kiziba mpaka kwenye tingatinga nikaambiwa hapo ndio mpaka na Uganda kimsingi ilikuwa moment nzuri kuzipitia.
Namkumbuka Mama Michael kwa ukarimu wa hali ya juu
Mkuu karibu tena kwetu. Mandhari nzuri sana! Baada ya kutoka kwenye Sherehe ya Omutwale Rwizandekwe II tupo sehemu hapa upepo mzuri tunashushia "Kalinya"! Ahahahahaha!!!
Ni kweli waziba ni waganda kyaka au waganda kyaka ndo waziba?Mimi natoka kiziba hapo mzee Rafiki yangu balozi kamala sasa marehemu alikuwa jirani yangu.
Swala la AKILI kweli haujakosea
Waganda kyaka - ni waziba ambao huongea lugha ya kiganda fluencyNi kweli waziba ni waganda kyaka au waganda kyaka ndo waziba?
Mkuu nimekaa kipindi kirefu mkoa wa Kagera wilayani Missenyi Bunazi kutokana na sababu kadhaa kubwa ni kiuchumi niliona kama mkoa wa Kagera umenikataa pressure ya kuhama ilikuwa kubwa na nilivyopata nafasi sikusita kuondoka..Mkuu karibu tena kwetu. Mandhari nzuri sana! Baada ya kutoka kwenye Sherehe ya Omutwale Rwizandekwe II tupo sehemu hapa upepo mzuri tunashushia "Kalinya"! Ahahahahaha!!!
Wakina Saida kalori anaongea kiganda cha kiziba na kihaya cha kiziba, nilishawshi kusikilza wibo wake wa kiganda kumbe kinafanana na kizibaWaganda kyaka - ni waziba ambao huongea lugha ya kiganda fluency
(Kwa ufasaha since wakiwa watoto)
KyakaWakina Saida kalori anaongea kiganda cha kiziba na kihaya cha kiziba, nilishawshi kusikilza wibo wake wa kiganda kumbe kinafanana na kiziba
Ahahahahaha! Umeongea vizuri kuhusu kwetu, lakini hiyo ya wadada! Ahahahahaha!!Mkuu nimekaa kipindi kirefu mkoa wa Kagera wilayani Missenyi Bunazi kutokana na sababu kadhaa kubwa ni kiuchumi niliona kama mkoa wa Kagera umenikataa pressure ya kuhama ilikuwa kubwa na nilivyopata nafasi sikusita kuondoka....
Hayo yote yapo kwenye kitabu chake hicho hapo juu kilochoandikwa na Mwandishi Mahiri Joas Kaijage!Leonard Rwizandekwe: Mtanzania pekee aliyethubutu kumuondoa Nyerere madarakani Kikatiba
Mzee Leonard Rwizandekwe aliwashangaza Watanzania mwaka 1965 kwa kukiomba chama cha TANU kimpendekeza kwa wananchi awe mgombea pekee wa urais badala ya Mwalimu Nyerere, akiwa kijiji kwake Katendaguro Wilaya ya Misenye Mkoa wa Kagera alipofanyiwa mahojiano na Elisa Muhingo na Mathias Byabato...www.jamiiforums.com
Mzee Leonard Rwizandekwe aliwashangaza Watanzania mwaka 1965 kwa kukiomba chama cha TANU kimpendekeza kwa wananchi awe mgombea pekee wa urais badala ya Mwalimu Nyerere, akiwa kijiji kwake Katendaguro Wilaya ya Misenye Mkoa wa Kagera alipofanyiwa mahojiano na Elisa Muhingo na Mathias Byabato, Bukoba, anasema wakati huo ilikuwa ni nadra na vigumu mtu yoyote kutaka kugombea nafasi hiyo kwa kuwa wananchi wengi walidhani kuwa hapakuwepo mtu mwingine zaidi ya Mwalimu Nyerere ambaye angeweza kuwa Rais wa nchi.
Alizaliwa tarehe 14 juni mwaka 1929 katika kijiji cha Katendaguro na kusoma shule ya msingi ya Rukurungo na baadae alipelekwa katika jumba la Mugorola lililokuwa Bunge la jadi ambapo hapo alikaa humo akilelewa na wazee ikiwa ni pamoja na kufundishwa maadili, utii, na uwajibikaji.
Mwaka 1948 alichaguliwa kujiunga na shule ya Serikali Ihungo iliyopo Bukoba kwa masomo ya Sekondari ambapo baada ya kuhitimu aliajiriwa katika idara ya mahesabu katika Wilaya ya Buhaya.
Rwizandekwe aliamua kujisomea mwenyewe masomo ya sheria na alipofanya mtihani wa Chuo cha Kibete cha nchini Uganda alifaulu vizuri na baada ya kupata cheti aliajiriwa katika sekta mbalimbali serikalini ambapo juni 1 mwaka 1959 aliteuliwa kuwa Hakimu wa Mahakama ya Rufaa ya Buhaya.
Mwaka 1960 alichaguliwa kama mtumishi bora kutoka Halmashauri ya Buhaya kwenda kuhudhuria semina ya sheria za Afrika nchini Uganda ambapo kupitia huko alichaguliwa pia kuhudhuria masomo ya shahada ya sheria za mila za Afrika katika Chuo Kikuu cha London nchini Uingereza.......
Sisi Waziba hatuna uhusiano wowote na Wagandakyaka ingawa wote tumo kwenye Wilaya moja ya Missenye.Ni kweli waziba ni waganda kyaka au waganda kyaka ndo waziba?
Marehemu Balozi Dk. Kamala ni kaka yangu.Mimi natoka kiziba hapo mzee Rafiki yangu balozi kamala sasa marehemu alikuwa jirani yangu.
Swala la AKILI kweli haujakosea
Shana akaramba kafiaNonywa akaramba
Of course!!Naona mmekutana Wazee wa Sifa.