Watu wenye akili pekee waliomchallenge mwalimuWahaya wakiziba(warangira) ni tofauti na wahaya wengine, wana maono uthubutu wanajiamini sana wana akili za maisha na darasani, ukisome historia ya huyu jamaa ndo chazo cha nyerere kusema hamna mwenye kiti wa chama (raisi mtarajiwa) kutoka Uhayani chanzo ni huyu mwamba, mwalimu Nyerere hakupenda wa haya katika maisha yake ya uraisi.
Wenginme wote walikuwa wanashangilia