miaka below 21 tukutane APA

sizani kama jamii folum kuna wadada chni ya miaka 21 naona ka wengi watu wazima na kama ypo basi ni Geniuz nawanyooshea kambajuane

Sent using Jamii Forums mobile app


Yaani uko chini ya miaka 21 unakuja hapa kutafuta nini, kwani Facebook na Instagram haziko? Huko ndiko kuna wapuuzi wenzako si hapa, ebu tutokee huko na miushuzi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…