Wewe mtoto sana tena mtoto wangu wa pili nimemzaa mwaka huo
Kwani miaka 21 huna haki ya kuwepo humu?mbona ni mingi sana hiyo miaka
Anayejiita mtu mzima hawezi kuandika maneno kama yaleWanaume wa Dar wana-mature wakifika miaka 35 kwenda mbele ila si chini ya hapo, si unaona hata comment yake. Irudie kusoma utanielewa nina maana gani.
Hahaha hebu atulie asome aachane na jf
Umri wake ni sahihi kabisa akiwa mwaka wa kwanza ila aina ya uandishi wake na maelezo aliyoyatoa yanatatizaInawezekana kweli yupo mwaka wa kwanza.
Fom 4 finish-17 years same to me.
18-20 years- advance.
21 years- chuo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayejiita mtu mzima hawezi kuandika maneno kama yale
Mwaka uliozaliwa mi nishaanza kugegeda vibinti wewe kwa umri huo ni mwanangu, ila kijana jitahidi kusoma wanawake wapo tu utawakuta na utawachoka
@faizafoxy njoo huku kuna mtu anachafua lughasizani kama jamii folum kuna wadada chni ya miaka 21 naona ka wengi watu wazima na kama ypo basi ni Geniuz nawanyooshea kambajuane
Sent using Jamii Forums mobile app