Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Hiyo ha
Je ni Mahsusi kwa kuishi viumbe bila bughudha au vipi, emb elezea kidoncho!
Hiyo habitat zone ndiyo inakuwa kuwaje?Huwezi kukubali ila kubali sababu sayansi ndio imekufikisha hapa unatumia JF.
Solar system tunayoisoma leo ilikuwa tofauti miaka bilioni 3.8 kabla ya dunia tuliyopo. DUNIA ilijikuta baada ya mabadiliko ya kianga kukumbwa na meteor zilizobadilisha muonekano wa solar system.
View attachment 2483162
Kiufupi tuite kwa ujumla mawe, mawe makubwa ambayo yalikuja kubadilisha sayari nyingi zilizopo kama kila moja tukianza kuleza tutajaza JF.
Miaka bilion 3.8 solar system ilikuwa sio pana
View attachment 2483164
ukilanganisha na leo. sababu
Je ni Mahsusi kwa kuishi viumbe bila bughudha au vipi, emb elezea kidoncho!