Miaka bilioni 3.8 iliyopita sayari Venus na Mars zilikuwa na kama vya dunia

Hiyo ha
Hiyo habitat zone ndiyo inakuwa kuwaje?
Je ni Mahsusi kwa kuishi viumbe bila bughudha au vipi, emb elezea kidoncho!
 
Sayansi imejibu na inaendelea kujibu maswali mengi sana kuliko hizo dini unazozishadadia upuuzi mtupu.
Kwamba miaka bilioni tatu huko tulikua nyani,solar system ilikua finyu!!..crazy!?...sayansi imeleta matatizo tu,wagonjwa wengi hospitali wanapelekwa na kufeli kwa sayansi, sayansi imeharibu na inaendelea kuharibu siha zao
 
Sijasoma huu uzi ila najaribu kutafakari itakuwaje kama binadamu wote wataondolewa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…