Miaka elfu saba ijayo, atheism itakuwa ndio dini kuu duniani. sababu zipo hapa chini

Usiogope
 
Time will come when people on earth will acquire the technology to travel with the speed of light
 
Time will come when people on earth will acquire the technology to travel with the speed of light
According to the current science knowledge its impossible kuweza kusafiri kwa 100% speed of light.. But still you never know what's still ahead of science..

Ndio maana kwa sasa inapokuja issue ya long distance space travels wanascience wanaongelea sana mambo ya wormholes na gravity manipulation au kutumia hibernation methods..

But still hakuna ajuaye kesho so maybe tunaweza fikia hiyo speed..
 
Kusema kweli napata tabu sana kutofautisha hivyo viwili.
Iko hivi. Unaposema A belief—maana yake inaoffer vitu fulani. Nikirejea Uislam na Ukristo, I'm sure unanielewa what those two sets of beliefs offer.

Sasa ukisema kuwa Dunia nzima itakuwa inaamini kwenye Atheism; maana yake inarudi kwenye msingi wa DINI—CONVINCTIONS. Ilihali, Atheist yeye hajathibitishiwa na kukubaliana na Uwepo wa Mungu. So, Atheist just REJECTS THE IDEA OF GOD/SUPERNATURAL POWER EXISTENCE UNTILL HE IS PROVEN BEYOND DOUBT THAT HE EXISTS.

Na Atheism haitoi wala haina Muongozo wowote wa maisha.
 
Mambo yakufikirika.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
IT’S 2061. EARTH’S SURFACE
IS FROZEN SOLID. TO ESCAPE AN expanding Sun, the planet has gone walkabout. It no longer rotates because thousands of fusion-powered engines on one side of Earth propel it across our solar system. The further from the Sun it travels, the colder it gets. Half the population is dead, and survivors live in vast underground cities. But Earth must reach Alpha Centauri, where there is a perfectly good, non-expanding Sun to allow us to get back to normal. ‘A journey of 4.5 light years begins with a single step’, as Confucius never said.


Wandering Earth film.(FoG Book)
 
Good movie.. Nimeziangalia movie zote mbili..ziko poa, kwa wanao fatilia mambo ya space travels
 
Kule uchagani kuna story za watu kuishi miaka mingi sana ,eti huwa kuna mbegu( mbeu) wanameza .

Et siku ya kufa ukimwahi anaitapika then wewe unaimeza chap , unaishi mpka utatamani kufa mwenyewe.


Pia kuna story za watu zamani walipotea kwa mda fulani then walirejea wakiwa na umri ule ule , wachaga wanaita ( isondokia), ivi vitu sina hakika kama ni kwel asee.
 
Kusema kweli napata tabu sana kutofautisha hivyo viwili.
Agnosticism is a belief that nothing can be known about God or life after death.

Agnostic is a person who believes that nothing can be known about God or life after death.

Atheism is a disbelief in the existence of God.

Atheist is a person who doesn't believe in the existence of God.

Essentially, both individuals are believers!
 
Itazaliwa dini mpya. Nayo itakuwa ni upendo. Watu wataishi kwa upendo na furaha. Hakutakuwa tena na kubaguana kwa misingi ya dini kabila rangi etc.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…