Miaka hio upo home, ni tukio gani mfanyakazi wenu wa ndani alifanya tukio mkabaki kucheka, kuhuzunika au kukusarika?

Miaka hio upo home, ni tukio gani mfanyakazi wenu wa ndani alifanya tukio mkabaki kucheka, kuhuzunika au kukusarika?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
πŸ˜‚πŸ˜‚
20250209_111430.jpg
 
Binti mmoja kutoka ngara alipoweka vyombo na vitunguu kwenye friji.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mdada

kuna mwingine alikuwa anaiba nguo za sister mdogomdogo kila weekend akienda kwao, sister anarudi kutoka chuo anakuta kabati lipo empty

kuna huyo alikuwa anampiga mdogo wangu mpaka anamuachia vidonda

na huyo mwingine choo haflushπŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Alisee mlipigwa matukio
 
mdada

kuna mwingine alikuwa anaiba nguo za sister mdogomdogo kila weekend akienda kwao, sister anarudi kutoka chuo anakuta kabati lipo empty

kuna huyo alikuwa anampiga mdogo wangu mpaka anamuachia vidonda

na huyo mwingine choo haflushπŸ˜‚
Dah ila wale wadada popote walipo wapokee maua yao kuna mmoja alikua anaitwa Amina yeye ndio alinifundisha uzinzi , wazazi wakiwa wamelala ananyata mpaka chumbani kwangu dah🀣
 
Yule binti hime tumechinja KUKU muda wa kula mezani hana firigisi, maini na kipapatio kimoja kuulizwa anasema huyu kuku alikuwa hana ivo vitu hata yeye hajamkuta navo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huu utani mkuu ? Au ni kweli😁😁
 
Back
Top Bottom