Miaka hio upo home, ni tukio gani mfanyakazi wenu wa ndani alifanya tukio mkabaki kucheka, kuhuzunika au kukusarika?

Miaka hio upo home, ni tukio gani mfanyakazi wenu wa ndani alifanya tukio mkabaki kucheka, kuhuzunika au kukusarika?

Ulivyosema kidato cha 3 ndio nimekuelewa . miaka 17 au 18 wanakua na moto sana hasa wakiwa geti kali enzi hizo nimepanga dogo wa form 2 alikuwa akipata mwanya anazama chumba changu cha uani kwao ni nyumba kubwa . Yaani huo umri wanaupenda huo mchezo sio poa
Yap, miaka 14 hadi 20 ni moto wa kuotea mbali. Sema anaweza kujifanya mpole na mjinga hivi ili kupoteza maboya.
 
Mtoa maada unaonekana wewe nimboga Saba usidhani kila mji ilikuwa namfanyakazi wandani
 
Sio mboga saba, ni mbogamboga
Screenshot_20250211-130431.png
 
Back
Top Bottom