Miaka hio upo home, ni tukio gani mfanyakazi wenu wa ndani alifanya tukio mkabaki kucheka, kuhuzunika au kukusarika?

Nakumbuka Dada aliondoka home, akaenda kulala anakojua yeye, Asubuhi Kurudi kapita mlango wa nyumba Kaingia Geto kwangu. Mi chumba changu kilikua cha Vyumba vya uwani( Nyumba za Nyuma ya nyumba.)
Kalala mi naenda Chumbani nakumkuta kalala wakati Maza kamtafuta kimya kimya bila kumwambia baba,
Mi nilipomuona nikamuuliza vipi mbona umelala uku kwangu Umekuja saa ngapi, akasema nimeingia asubuhi. Yess....
Tutaongea, na kuyajenga nimtete kwa mama, Mi nikamfuata Bi Maza nikamwambia amelala kwangu mi nilikua naogopa kumwambia na mm kipenzi Cha mama,
Mama kanielewa, kesi imeisha hiyo, kufika usiku saa nne nikamwambia kama tulivyokubaliana asubuhi nikutete kwa mama, alafu utakuja kulala kwangu.
Kweli ilipofika mida amekuja kulala....
Dada wa kazi akawa kama nimeoa kila siku anakuja kulala Geto.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hii inaitwa "fair trade"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…