Miaka hio upo home, ni tukio gani mfanyakazi wenu wa ndani alifanya tukio mkabaki kucheka, kuhuzunika au kukusarika?

Kuna mmoja huyo alikua anaogopa kupikia jiko la umeme.
Kuliwasha ni kimbembe, anapanda juu ya viti ili apike sijui alikua anahisi akikanyaga chini kutakua na umeme.

Nilikua nashindwa kabisa kumuelewa yule mtu.
 
Kuna mmoja huyo alikua anaogopa kupikia jiko la umeme.
Kuliwasha ni kimbembe, anapanda juu ya viti ili apike sijui alikua anahisi akikanyaga chini kutakua na umeme.

Nilikua nashindwa kabisa kumuelewa yule mtu.
πŸ˜‚
 
Nikikumbuka huwa nacheka sana πŸ˜…
Kila mara Maza alikuwa nalalamika kwa nini maharage huwa sio matamu sama na nyama...si akafuma bakuli lina supu ile yenyewe kipo chini ya kabati...ndo akapata jibu kwa nini mboga sio tamu πŸ˜‚πŸ˜‚

Maziwa same anachukua anajaza maji kwenye dumu hata likiwa na seal atafungua tu, bi mkubwa anakwambia siku mojanya dumu lilidondoka na kumwagika maziwa anaulizwa imekuaje eti limeteleza na kufunguka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kuna huyu mmoja wa bamdogo alikuwa hajui kufungua mlango wa gari

badala ya kuvuta akawa anasukuma

akachoka mwenyewe akaanza kugonga dirishani

keki ya dogo ya birthday imeletwa akaipiga yote mwenyewe
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijaelewa ulichoandika kwa kweli.
 
Dah ila wale wadada popote walipo wapokee maua yao kuna mmoja alikua anaitwa Amina yeye ndio alinifundisha uzinzi , wazazi wakiwa wamelala ananyata mpaka chumbani kwangu dah[emoji1787]
Wewe ndio ulikuwa unanyata kwake au yeye ndiyo alikuwa anakufata . Ulikuwa na miaka mingapi mkuu ?
 
Yeye ndio alikua anakuja kama darasa la sita hivi ila yeye mkubwa kama wa kidato cha tatu hivi.
Ulivyosema kidato cha 3 ndio nimekuelewa . miaka 17 au 18 wanakua na moto sana hasa wakiwa geti kali enzi hizo nimepanga dogo wa form 2 alikuwa akipata mwanya anazama chumba changu cha uani kwao ni nyumba kubwa . Yaani huo umri wanaupenda huo mchezo sio poa
 
Kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…