Miaka inaenda na vingi


Hilo bwanga noma asee..mguu mmoja wake unashonea suruali ya huyo kijana wa 2017
yaan hata huo mguu mmoja wa hilo bwanga, ukishona ya uyo wa 2017 unashonea na kubaki, kwel noma noma sana
 
Elimu ya kujitegemea vs. Elimu bila malipo! Kweli miaka inayoyoma na mengi tunayaona.
 
Hiiiii huyo wa 67 akae mbali na mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…