Miaka inaenda na vingi

Miaka inaenda na vingi

Jamanii, hizi fashoon! Eti hata mimi nimeanza kuvaa hivyo vichupa baada ya 'kushurutishwa' na mpenzi wangu... Siku hiyo nimevaa jeans ya bwanga, najiona nimependeeza mwenyewe, akaniambia, 'mpenzi wangu, hizo nguo zimeshapitwa na wakati'. Sasa navaa vichupa kumkonga nyoyo!
 
Zamam rahq sana
Kila kitu n neutral
 
Back
Top Bottom