Miaka kumi ijayo,tusafiri pamoja

Miaka kumi ijayo,tusafiri pamoja

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Karibuni kwenye hii safari. Huo utakuwa ni mwaka 2030.na dunia itakuwa hivi,
Mti wowote ule utakuwa ni kivutio Cha utalii.
Wavulana waliooa wabibi watakuwa ni 75%
Hakutakuwa na bikra mwenye miaka 10.
Watu wenye elimu ya PhD watachoma mahindi mtaani,nayo yatakuwa mali adimu
Wataoa asubuhi na kuachana jioni.
Mzazi na mwanae hawatazikana.
Makanisani na misikitini itakuwa mahali hatarishi zaidi .
Kuiba,kuzini na kuua itafanyika hadharani.
Usiku utakuwa kama mchana ila utakuwepo.
Wapigao kura kuchagua viongozi watakuwa 10% tu.
 
Mabadiliko ya tabia nchi haitakuwa habari tena isipokuwa tutajadili mabadiliko ya tabia ya viumbe hai.
Paka,mbuzi na mbwa watakuwa wanaangalia zaidi television kuliko wanadamu.
 
Back
Top Bottom