Miaka kumi ya Ndoa kwa Amani na Historia nzuri....

Miaka kumi ya Ndoa kwa Amani na Historia nzuri....

hongera.

Uache 'wanaopandia manzese na kushuka magomeni'

Ha ha ha ha ha these were at those days mkuu ktk mapito ya jangwani kuelekea njia ya Ahadi kwenye maziwa na asali....sasaivi nimeachana kabisa na "Mipango ya Kando"....
 
Dah!very interesting stn ry,hongera sn mkuu,at least leo umetupatia kitu kimpya maana humu matatizo ya mahusiano/ndoa ndio vilio kila siku,tunashukuru kwa kututia moyo ambao hatujajiunga humo,kumbe yanavumilika na kusonga mbele,mungu awabariki sn na kuwapa umri mrefu!

Mmmmh........mwanakwetu hii taasisi hata waipambe vipi, mie channel haisomi kabisa.....nitazidi kuwabariki tu waliomo!!! Lol
 
Nimebarikiwa sana na maelezo yako, ni kweli brought up yenu wote wawili ni nzuri. Laudetu Yesus Kristus.
 
Hongera sana, naamini hata watoto mnawalea ktk mazingira mazuri, je mmetenga muda wa kusali pamoja jioni, japo 25mns za Rozari?
 
Hongera sana, naamini hata watoto mnawalea ktk mazingira mazuri, je mmetenga muda wa kusali pamoja jioni, japo 25mns za Rozari?

Tunajitahdi kuwalea kwa mapenzi ya Mungu....mihangaiko ya mjini inaweka ugumu wa ratiba...japo ratiba ya Vesperi na Completo hutukutanisha nyakat za usiku!Rozari n kila Jmos ya kwanza ya mwezi.
 
Hongera sana sana. Mungu na azidi kuwapigania. Kumbukeni kumtanguliza yeye ktk kila kitu na kila jambo.
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Yap ! Wadada wa disco safi sana.
 
Hongera sana ndugu...ila hiyo "kuanguka" sikuipenda sana ulivoiweka ktk hadithi nzuri namna hii... Mkeo akipita humu mtaelewana?...je naye akimwaga stori za 0 kuanguka" patatosha?
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Yap ! Wadada wa disco safi sana.

Disko la kishule shule si kama madisco ya mtaani...hapa lengo uwa ni kurefresh mind after a long way of hard studying....no wrong business
 
Hongera sana ndugu...ila hiyo "kuanguka" sikuipenda sana ulivoiweka ktk hadithi nzuri namna hii... Mkeo akipita humu mtaelewana?...je naye akimwaga stori za 0 kuanguka" patatosha?

Thanx kwa hongera yako!kudondoka ni sehemu ya ubinadamu!hatuwez kuwa binadamu kamili bila mapungufu!uyu kwangu ni rafiki na mke...tunafahamiana tungali vijana wadogo!HANA SHIDA
 
Thanx kwa hongera yako!kudondoka ni sehemu ya ubinadamu!hatuwez kuwa binadamu kamili bila mapungufu!uyu kwangu ni rafiki na mke...tunafahamiana tungali vijana wadogo!HANA SHIDA

SHIDA IPO moja ya vitu vyenye majeraha yasiyoisha ktk mapenzi ni uzinzi (ikimbieni zinaa) na hapa tu ndoa huvunjwa...haya mambo ya kuconfess yanaleta shida..uchungu,kukosa uaminifu na talaka rejea..any way tuko pamoja..
 
Nimeipenda hii stori. Hongera sana Mkuu
 
nakutakia kila la kheri.................zaidi ya yote furaha kaktika familia yako!
 
Asante kwa ku share story hii....very positive. Ni mara chache watu wakajitokeza kuonyesha furaha waliyonayo katika ndoa zao. Kwa kweli matatizo yapo katika ndoa, lakini naamini mazuri ni mengi zaidi. Mungu akubariki mkuu!!!
 
so romantic mkuu, hongera sana, .................ila uache ubahili wa hiyo kitu bana................ piga fimbo za kutosha kisawasawa............... mtu mwenyewe mmetoka naye mbaaali, sasa unarembaremba nini??..................

na hiyo nyota ya kijani uliyomeza inakukosesha mengi................... mie 10 yrs nadhani kwa uchache ningekuwa na watoto kama 6 hivi!!.................... teh teh, hongera sana tena mkuu....................

Ushauri mwingine bana, hata Ibilisi hawezi shauri namna hii.
 
Back
Top Bottom