Miaka kumi ya THT, Asante Ruge Mutahaba

Miaka kumi ya THT, Asante Ruge Mutahaba

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Nimetoka kusikiliza interview ya 10 years ya THT iliyofanywa na bongo 5. boss Ruge kaongea ya maana sana, huyu bingwa wanamsema sana kwa mabaya.

Lakini ukweli ni kwamba kasaidia sana wasanii wadogo mpaka waliokuwa wakubwa sasa hivi napenda kumpongeza sana Ruge na Team yake. Happy 10th Anniversary THT.
 
Penye mafanikio hapakosi mapungufu... watu hata uwafanyie nini bado wapo watakaokusema vibaya otherwise ana kila sababu ya kupongezwa..............HBD THT10.
 
Jambo lililo wazi ni kwamba, wale wote wanaomponda Ruge na THT, wao binafsi wala watu wa karibu yao hawajafanya hata 5% ya yale yaliyofanywa na Ruge/THT... wanabaki tu kupiga kelele.
 
Jambo lililo wazi ni kwamba, wale wote wanaomponda Ruge na THT, wao binafsi wala watu wa karibu yao hawajafanya hata 5% ya yale yaliyofanywa na Ruge/THT... wanabaki tu kupiga kelele.

Game imekuwa ngumu sana,unaposikia wadau wanasema muziki umekuwa biashara basi ujue ni biashara haswa. Ruge ana mazuri yake,ila pia ana mapungufu yake mengi tu...all in all ndio ubepari wenyewe inabidi ukubali hali halisi.

Ila kiukweli muziki umekuwa mgumu sana, tunapoelekea tunaweza tusiinjoi muziki mzuri tena na talents bali watu wenye connection...Pesa inatumika isivyo kawaida, fitna ndio usiseme.
 
Binafsi sioni cha maana alichokifanya ruge. Labda kama analazimisha sifa, maana dunia hii kuna baadhi ya watu wanalazimisha misifa lakini ni hopeless. Maybe one day, bongo flavour will reach to the point of maximum that we need and adore, and not ruge with his tht.
 
Game imekuwa ngumu sana,unaposikia wadau wanasema muziki umekuwa biashara basi ujue ni biashara haswa. Ruge ana mazuri yake,ila pia ana mapungufu yake mengi tu...all in all ndio ubepari wenyewe inabidi ukubali hali halisi.

Ila kiukweli muziki umekuwa mgumu sana, tunapoelekea tunaweza tusiinjoi muziki mzuri tena na talents bali watu wenye connection...Pesa inatumika isivyo kawaida, fitna ndio usiseme.
Ruge amebadili game. Kutoka watu kuimba imba kwa kujifurahisha hadi kufanya mziki kibiashara. Biashara ya mziki ni kama biashara nyingine. Ushindani na mbinu mbalimbali lazima zitumike ili kufanikiwa. Tatizo liko kwenye mindset ya wanamuziki waaiojitambua
 
Hyo tht inabebwa na clouds, sikiliza amplifier afu uone playlist inavyotawaliwa na tht....tht ingekua inamilikiwa na m2 acyehusihana na clouds ingekua ya kawaida mno.
 
Back
Top Bottom