Nimetoka kusikiliza interview ya 10 years ya THT iliyofanywa na bongo 5. boss Ruge kaongea ya maana sana, huyu bingwa wanamsema sana kwa mabaya.
Lakini ukweli ni kwamba kasaidia sana wasanii wadogo mpaka waliokuwa wakubwa sasa hivi napenda kumpongeza sana Ruge na Team yake. Happy 10th Anniversary THT.