Miaka minne ijayo nitaoa mmachame

Mzuka?
Ndiyo haiwahusu ila ndo hivyo nataka mbeleni niweke ndani mtoto wa kichaga mmachame, maana maneno yamekuwa mengi kuhusu hawa ndugu zangu.
Usajili unaanza sasa.
Mwenyewe mwakani namchukua mrombo naweka ndani wasitutishe mkuu hawa.
 
Ni sawa na kusema "miaka minne ijayo nitaingi rasmi kwenye ulimwengu wa stress na depression na mwishoni kifo kabisa "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…