Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,535
- 2,226
Unachangia kodi vizuriMimi nina laini 5 za mitandao tofauti.
Huyu ni nani?We jamaa yani kama sio mchicha mwiba basi utakuwa rodi rofaView attachment 3404304
Unaandika ukiwa unamalizia msokoto wa ngap Mkuu?RAIS SAMIA AZALISHA LAINI MPYA 38M ZA SIMU NA WATUMIAJI WAPYA WA INTANETI 20M.
Hadi mwaka 2025 jumla ya laini 90.4M za simu zilisajiliwa kutoka laini 53M mwaka 2020 ikiwa ni ongezeko la 70% huku Watumiaji wa intaneti wakifikia 49.3M kutoka 29.1M mwaka 2020 tofauti ya Watumiaji 20M
Kiasi cha miamala kidijitali kwa simu kimeongezeka kutoka miamala 32.7M hadi 66.5M sawa na ongezeko la 103.4%
Thamani ya miamala hiyo ya Simu Uchumi Kidijitali imeongezeka kutoa TZS155Trilioni hadi TZS199Trilioni. Sawa na ongezeko la TZS44 trilioni.
Takwimu za International Data Centre (IDCA) za mwaka 2024 zinaonesha Uchumi wa Kidijitali umechangia 15% ya Uchumi wote wa Dunia sawa na $16Trilioni au TZS41,600Trilioni (Souce BOT)
Wameukata songesha anajaribu kujionesha rumumbaNaona mgodi wa buku 700 umetema
Buku 7 Leo wanahamasa nasikia posho ni tenWameukata songesha anajaribu kujionesha rumumba
Mama kazi kaifanya tuache maneno manenoRAIS SAMIA AZALISHA LAINI MPYA 38M ZA SIMU NA WATUMIAJI WAPYA WA INTANETI 20M.
Hadi mwaka 2025 jumla ya laini 90.4M za simu zilisajiliwa kutoka laini 53M mwaka 2020 ikiwa ni ongezeko la 70% huku Watumiaji wa intaneti wakifikia 49.3M kutoka 29.1M mwaka 2020 tofauti ya Watumiaji 20M
Kiasi cha miamala kidijitali kwa simu kimeongezeka kutoka miamala 32.7M hadi 66.5M sawa na ongezeko la 103.4%
Thamani ya miamala hiyo ya Simu Uchumi Kidijitali imeongezeka kutoa TZS155Trilioni hadi TZS199Trilioni. Sawa na ongezeko la TZS44 trilioni.
Takwimu za International Data Centre (IDCA) za mwaka 2024 zinaonesha Uchumi wa Kidijitali umechangia 15% ya Uchumi wote wa Dunia sawa na $16Trilioni au TZS41,600Trilioni (Souce BOT)
Unakuta wazazi wako wana lufe gumu sana kule kijijini, ila wewe usha hamishia ubongo kwemye utumbo mpana.RAIS SAMIA AZALISHA LAINI MPYA 38M ZA SIMU NA WATUMIAJI WAPYA WA INTANETI 20M.
Hadi mwaka 2025 jumla ya laini 90.4M za simu zilisajiliwa kutoka laini 53M mwaka 2020 ikiwa ni ongezeko la 70% huku Watumiaji wa intaneti wakifikia 49.3M kutoka 29.1M mwaka 2020 tofauti ya Watumiaji 20M
Kiasi cha miamala kidijitali kwa simu kimeongezeka kutoka miamala 32.7M hadi 66.5M sawa na ongezeko la 103.4%
Thamani ya miamala hiyo ya Simu Uchumi Kidijitali imeongezeka kutoa TZS155Trilioni hadi TZS199Trilioni. Sawa na ongezeko la TZS44 trilioni.
Takwimu za International Data Centre (IDCA) za mwaka 2024 zinaonesha Uchumi wa Kidijitali umechangia 15% ya Uchumi wote wa Dunia sawa na $16Trilioni au TZS41,600Trilioni (Souce BOT)
Jambo kubwa sana hiliRAIS SAMIA AZALISHA LAINI MPYA 38M ZA SIMU NA WATUMIAJI WAPYA WA INTANETI 20M.
Hadi mwaka 2025 jumla ya laini 90.4M za simu zilisajiliwa kutoka laini 53M mwaka 2020 ikiwa ni ongezeko la 70% huku Watumiaji wa intaneti wakifikia 49.3M kutoka 29.1M mwaka 2020 tofauti ya Watumiaji 20M
Kiasi cha miamala kidijitali kwa simu kimeongezeka kutoka miamala 32.7M hadi 66.5M sawa na ongezeko la 103.4%
Thamani ya miamala hiyo ya Simu Uchumi Kidijitali imeongezeka kutoa TZS155Trilioni hadi TZS199Trilioni. Sawa na ongezeko la TZS44 trilioni.
Takwimu za International Data Centre (IDCA) za mwaka 2024 zinaonesha Uchumi wa Kidijitali umechangia 15% ya Uchumi wote wa Dunia sawa na $16Trilioni au TZS41,600Trilioni (Souce BOT)
RAIS SAMIA AZALISHA LAINI MPYA 38M ZA SIMU NA WATUMIAJI WAPYA WA INTANETI 20M.

Unachangia kodi vizuri
Tumia akili wakati mwingineRAIS SAMIA AZALISHA LAINI MPYA 38M ZA SIMU NA WATUMIAJI WAPYA WA INTANETI 20M.

Watanzania wanaelewa zaidiJambo kubwa sana hili