Miaka minne tu laini mpya za simu milioni 38 watumiaji wapya wa internet milioni 20, ni Rais Samia tu

RAIS SAMIA AZALISHA LAINI MPYA 38M ZA SIMU NA WATUMIAJI WAPYA WA INTANETI 20M.

Hadi mwaka 2025 jumla ya laini 90.4M za simu zilisajiliwa kutoka laini 53M mwaka 2020 ikiwa ni ongezeko la 70% huku Watumiaji wa intaneti wakifikia 49.3M kutoka 29.1M mwaka 2020 tofauti ya Watumiaji 20M

Kiasi cha miamala kidijitali kwa simu kimeongezeka kutoka miamala 32.7M hadi 66.5M sawa na ongezeko la 103.4%

Thamani ya miamala hiyo ya Simu Uchumi Kidijitali imeongezeka kutoa TZS155Trilioni hadi TZS199Trilioni. Sawa na ongezeko la TZS44 trilioni.

Takwimu za International Data Centre (IDCA) za mwaka 2024 zinaonesha Uchumi wa Kidijitali umechangia 15% ya Uchumi wote wa Dunia sawa na $16Trilioni au TZS41,600Trilioni (Souce BOT)

Mnamkoswa Rais wetu aisee kwa haya maandiko
 
Hakuna rekodi ambayo Sama hajaweka Wala kuivunja na haijawahi fikiwa na yeyote.

Hapa kwenye mawasiliano hizi namba hazijajileta Bali Serikali yake imejenga zaidi ya minara 700 Kwa zaidi ya Bilioni 300 Nchi nzima kujifanya Tanzania ya kidijitali.

View: https://www.instagram.com/p/DKtldmAsu3o/?igsh=MW1zYXh4NHh3azNnbw==

View: https://www.instagram.com/p/DLUXvlkstr0/?igsh=MXJuOTM0Y2tzN3hjZQ==
 
OCTOBA NI TIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Back
Top Bottom