je mke mwengine atakubali kuwa namke mwenza mwenye vvu?
Kwa madai yako ustaz mke kapata vvu ndani ya ndoa, kama ni hivo mume aendelee kuwa nae asimwache na ampe msaada zaidi hadi hatua ya mwisho.HABARI!
Poleni wadau, leo naomba msaada wa mawazo haswa yenye mtazamo wa kiimani wenye elimu ya dini KWANZA niwajuze wale wataonishauri kupeleka hili kwenye jukwaa la dini na majukwaa mengine kuwa NILISHINDWA FANYA IVYO ndio maana nipo hapa.
Mimi ni kijana ambae nina elimu inayonisaidia kuchukua udhutu lakini kutokana na nilipo kukosa wasomi nami naonekana USTAADH mara kwa mara watu unifuata na kuomba niwe mshenga kwenye ndoa zao sasa kuna mmoja amekuja kutaka FATUA juu ya tatizo la mke wake.
Walifunga ndoa miaka 4 iliyopita wana mtoto mmoja sasa. Tatizo ni pale mkewe alipo umwa ghafla miezi michache baada ya kujifungua baada ya kwenda huku na huko mke imethibitishwa kuwa ana VVU.
Mume akajitaidi kunusuru maisha yake na sasa yupo vizuri tu,mume amepima mara kadhaa hana vvu.
Anadai kuwa hajiskii vizuri kuishi ktk hali hiyo lakini hajui kwa tamko la dini.
Vvu huambukizwa kwa njia nyingi sio kwa kujamiiana tu kwahyo asimpe talaka,wakae chini wajue watamleaje mtoto na si kuwaza kutengana
Alitia saini kuwa ni mume na mke na wataishi kwa shida na raha...so usimuache mkeo, kaeni chini mupange jinsi ya kulea watoto.. Endelea nae..
muulize huyo mwanaume
je ikiwa yeye ndio mwathirika je mkewe amtaliki?
Kwa madai yako ustaz mke kapata vvu ndani ya ndoa, kama ni hivo mume aendelee kuwa nae asimwache na ampe msaada zaidi hadi hatua ya mwisho.
Sijajibu kidini, nimejibu kwa mtazamo wangu
ushauri wa kidini sina, ila wa kitaalamu ninao.
Ndoa si mchezo!!!! Ila mume ajue pia kwa uzembe wa hosp zetu hata kujifungua unaweza kuupata!!! Cha msingi wake waongee na kama haitawezekana kuushi kindoa basi angalao aoe mke mwingine ila aendelee kumtunza mkewe ila asimpe talaka. Kuna dada mmoaja aligundulika na VVU kipindi cha ujauzito. Mume alipima several times akawa hana maambukizi. Ila akaamua kuwa na mabibi nje cha kushangaza kila bibi akawa +ve wakati yeye -ve. Kumbe alikuwa na VVU ila haikuwa inaonekana kwa vipimo. Leo hii anatumia ARV kwa kuwa baadaye VVU ilisomeka!!!!!

- Je, mtoto naye kazaliwa na ugonjwa?
- Kwa mfano angekuwa ni yeye mwanaume kakutwa na hayo maradhi angefanyiza vipi?
- Waende tu kwa washauri wajuzwe namna ya kuendelea kuifurahia ndoa yao.
I like women like you. Very good answer. Inabidi kuwa na mwanamke kama wewe si tu wale wa kupiga domo na ushambenga usio na maendeleo. Big up mamito.
Msitiri tu HIV member 🤣HABARI!