Miaka minne ya ndoa mke agundulika ana vvu je anastahiri taraka?

muulize huyo mwanaume

je ikiwa yeye ndio mwathirika je mkewe amtaliki?
 
Ndio kaka...panapokua pana maradhi ya kuambukiza...Mume anaweza kumtaliki mwanamke na mwanamke anaweza kudai talaka kutoka kwa mume...ni suala ambalo liko wazi....wala hapahitaji kushereheshwa...
 
je mke mwengine atakubali kuwa namke mwenza mwenye vvu?

Hapo bi mkubwa tendo la ndoa halitokuwepo itabaki huduma za kawaida tu nilishawahi kuona wanandoa wakiishi hivyo pia mwanaume alihama kwa amani tu
 
anajua njia za kuambukizwa VVU aache mawazo mgando hta yeye anaweza kupata VVU mda wowote
kuathirika kwa mke hana sbabu ya kumuacha wana mtoto walee mtoto wao

Aende vituo vya ushauri wajue jinsi ya kuishi.
 
HABARI!

Poleni wadau, leo naomba msaada wa mawazo haswa yenye mtazamo wa kiimani wenye elimu ya dini KWANZA niwajuze wale wataonishauri kupeleka hili kwenye jukwaa la dini na majukwaa mengine kuwa NILISHINDWA FANYA IVYO ndio maana nipo hapa.

Mimi ni kijana ambae nina elimu inayonisaidia kuchukua udhutu lakini kutokana na nilipo kukosa wasomi nami naonekana USTAADH mara kwa mara watu unifuata na kuomba niwe mshenga kwenye ndoa zao sasa kuna mmoja amekuja kutaka FATUA juu ya tatizo la mke wake.

Walifunga ndoa miaka 4 iliyopita wana mtoto mmoja sasa. Tatizo ni pale mkewe alipo umwa ghafla miezi michache baada ya kujifungua baada ya kwenda huku na huko mke imethibitishwa kuwa ana VVU.

Mume akajitaidi kunusuru maisha yake na sasa yupo vizuri tu,mume amepima mara kadhaa hana vvu.

Anadai kuwa hajiskii vizuri kuishi ktk hali hiyo lakini hajui kwa tamko la dini.
Kwa madai yako ustaz mke kapata vvu ndani ya ndoa, kama ni hivo mume aendelee kuwa nae asimwache na ampe msaada zaidi hadi hatua ya mwisho.

Sijajibu kidini, nimejibu kwa mtazamo wangu
 
Vvu huambukizwa kwa njia nyingi sio kwa kujamiiana tu kwahyo asimpe talaka,wakae chini wajue watamleaje mtoto na si kuwaza kutengana

Alitia saini kuwa ni mume na mke na wataishi kwa shida na raha...so usimuache mkeo, kaeni chini mupange jinsi ya kulea watoto.. Endelea nae..
 
Ndoa si mchezo!!!! Ila mume ajue pia kwa uzembe wa hosp zetu hata kujifungua unaweza kuupata!!! Cha msingi wake waongee na kama haitawezekana kuushi kindoa basi angalao aoe mke mwingine ila aendelee kumtunza mkewe ila asimpe talaka. Kuna dada mmoaja aligundulika na VVU kipindi cha ujauzito. Mume alipima several times akawa hana maambukizi. Ila akaamua kuwa na mabibi nje cha kushangaza kila bibi akawa +ve wakati yeye -ve. Kumbe alikuwa na VVU ila haikuwa inaonekana kwa vipimo. Leo hii anatumia ARV kwa kuwa baadaye VVU ilisomeka!!!!!
 
Kwa madai yako ustaz mke kapata vvu ndani ya ndoa, kama ni hivo mume aendelee kuwa nae asimwache na ampe msaada zaidi hadi hatua ya mwisho.

Sijajibu kidini, nimejibu kwa mtazamo wangu

mkuu sifahamu nasidhani kama hata mume mwenyewe anajua kama mkewe amepata vvu ndani yandoa aulaa asante kwa mchango wako
 
Ndoa si mchezo!!!! Ila mume ajue pia kwa uzembe wa hosp zetu hata kujifungua unaweza kuupata!!! Cha msingi wake waongee na kama haitawezekana kuushi kindoa basi angalao aoe mke mwingine ila aendelee kumtunza mkewe ila asimpe talaka. Kuna dada mmoaja aligundulika na VVU kipindi cha ujauzito. Mume alipima several times akawa hana maambukizi. Ila akaamua kuwa na mabibi nje cha kushangaza kila bibi akawa +ve wakati yeye -ve. Kumbe alikuwa na VVU ila haikuwa inaonekana kwa vipimo. Leo hii anatumia ARV kwa kuwa baadaye VVU ilisomeka!!!!!

amakweli ukiuliza unapata elimu kubwa kumbe kuna ambao wana virusi afu havisomeki? sasa baadhi uenda kupima wikihii ijayo ndoa je yaweza kua hatari kumbee
 
Ndoa si mchezo!!!! Ila mume ajue pia kwa uzembe wa hosp zetu hata kujifungua unaweza kuupata!!! Cha msingi wake waongee na kama haitawezekana kuushi kindoa basi angalao aoe mke mwingine ila aendelee kumtunza mkewe ila asimpe talaka. Kuna dada mmoaja aligundulika na VVU kipindi cha ujauzito. Mume alipima several times akawa hana maambukizi. Ila akaamua kuwa na mabibi nje cha kushangaza kila bibi akawa +ve wakati yeye -ve. Kumbe alikuwa na VVU ila haikuwa inaonekana kwa vipimo. Leo hii anatumia ARV kwa kuwa baadaye VVU ilisomeka!!!!!

Kwenye hili la kujifungua na kuambukizwa VVU nakubaliana na wewe
 
- Je, mtoto naye kazaliwa na ugonjwa?
- Kwa mfano angekuwa ni yeye mwanaume kakutwa na hayo maradhi angefanyiza vipi?
- Waende tu kwa washauri wajuzwe namna ya kuendelea kuifurahia ndoa yao.

I like women like you. Very good answer. Inabidi kuwa na mwanamke kama wewe si tu wale wa kupiga domo na ushambenga usio na maendeleo. Big up mamito.
 
Hata amuache swala linakua ni lile lile maana hata huko anaknenda hajui yatatokea nini isitoshe ya mungu mengi mitihani ya dunia hyo anaweza akutane na mengi ya kuusononesha moyo wake zaidi ya hicho,la msingi atulie na mke wake wapange maisha vvu s4 kwanba ndio anakufa leo, watu wanamagonjwa makubwa kuliko hata hlo
 
HABARI!

Poleni wadau, leo naomba msaada wa mawazo haswa yenye mtazamo wa kiimani wenye elimu ya dini KWANZA niwajuze wale wataonishauri kupeleka hili kwenye jukwaa la dini na majukwaa mengine kuwa NILISHINDWA FANYA IVYO ndio maana nipo hapa.

Mimi ni kijana ambae nina elimu inayonisaidia kuchukua udhutu lakini kutokana na nilipo kukosa wasomi nami naonekana USTAADH mara kwa mara watu unifuata na kuomba niwe mshenga kwenye ndoa zao sasa kuna mmoja amekuja kutaka FATUA juu ya tatizo la mke wake.

Walifunga ndoa miaka 4 iliyopita wana mtoto mmoja sasa. Tatizo ni pale mkewe alipo umwa ghafla miezi michache baada ya kujifungua baada ya kwenda huku na huko mke imethibitishwa kuwa ana VVU.

Mume akajitaidi kunusuru maisha yake na sasa yupo vizuri tu,mume amepima mara kadhaa hana vvu.

Anadai kuwa hajiskii vizuri kuishi ktk hali hiyo lakini hajui kwa tamko la dini.
Msitiri tu HIV member 🤣
 
Back
Top Bottom