Miaka mitano (5) Rais Felix Tshisekedi nchini DR Congo

Miaka mitano (5) Rais Felix Tshisekedi nchini DR Congo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Miaka 5 ya Rais Felix Tshisekedi nchini Congo

Hakuna alichokifanya zaidi ya kusafiri tu nje huko

Hakuna mradi wowote ambao alifanya umekamilika zaidi ya kulalamika kuwa mafisadi wanaiba pesa za Serekali

Nakumbuka mwaka 2015 kipindi cha kampeni Canada aliyekuwa waziri mkuu wa Canada, Stephen Harper aliwahi kusema kuwa watu wengi wanafikiri uongozi ni kitu rahisi saana na utakuta mtu anatamka nikiwa hivi nitafanya hivi, Nikiwa hivi nitafanya hivi ila kujenga uchumi wa nchi inaomba akili nyingi sio kitu cha kukurupukia

Na ndicho kilichomkuta Rais Felix Tshisekedi wakati amepewa uongozi alidanganya wakongo kuwa atafanya Congo kuwa Geremani (German) ya Afrika, Akadanganya sijui elimu bure. Sijui mambo mengi na hakuna alichokifanya zaidi ya kulalamika tu

Sasa hivi baada ya kuona hakuna alichokifanya wameanza sasa kuandama Moise Katumbi kuwa sio mkongomani kwa hiyo watu wasimchague
 
Wana propaganda wa Ewanda ukisoma kwenye majarida yao wanamdhihaki eti Rais Felix anajichubua kuwa softi.
 
Apishe njia ampe Katumbi akili kubwa, yeye Big M23 tu wanamtoa kamasi haja jeshi lenye weledi wala mbinu vita na vifaa angeimarishaJeshi lake asingechezewa hivi.
 
Back
Top Bottom