Yule mzeee amejijenga katika maneno ya uongo uongo...
Utasikia Hakuna aliyenisindikiza kuchukua fomu kugombea.
Mala tena utasikia nilikuwa na beep simu ikang'ang'ania huko huko.
Mala utasikia alilazimishwa kugombea.
"Huyu mtu hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi labda kuwa nyapala wa Barabara."
IRP. Kingunge