Salaam!
Nichukue fursa hii Kutangaza kuwa Mimi ni mmoja wa waumini juu ya ukomo wa kutumika kwa Nafasi ya ubunge na kwa miaka mitano pekee.
Askofu Gwajima ametupa funzo kuwa, miaka mitano inatosha kabisa kwa mbunge, akatafute changamoto nyingine, haya mambo ya kufanya Jimbo kama lako, ndio sababu ya malalamiko tunayosikia kuwa Fulani ameonewa kukatwa kana kwamba Jimbo ni la babake.
Nichukue fursa hii kuwaonba wajumbe kokote mlipo, wapumzisheni wote waliohudumu Nafasi ya ubunge miaka mitano ilopita Ili tuanze upya.
Na waliopita bila kupingwa, wakaanguahwe na wabunge wa upinzani baada ya kufanyika reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Nawasilisha 🙏