Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Sio duniani tu hadi huko akhera, yeye na bashite
JPM ndio baba wa demokrasia ya maendeleo hapa duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM ndio baba wa demokrasia ya maendeleo hapa duniani.
Wengi akili zao haziko sawa.Unapoona mtu anaishabikia CCM au amevaa mtisheti wa CCM unamtazaaamaaa unamuonea tu huruma Cha ajabu wengi wanaovaa matisheti kofia au mavilemba ya CCM ni wazee au majitu yenye sura mbayambaya hivi.
Likisimama Gogo na John kwenye uchaguzi wa octoba, Gogo litaipata kura yangu kiroho Safi kabisa